bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,100
- 2,491
Hiyo hapati hata mia , Donoghue hii ndo landmark case za soda na beer na madhara yake 🤣🤣Donogue v Stevenson
Kama contract law na Carlill v Carbolic Smoke Ball Co 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo hapati hata mia , Donoghue hii ndo landmark case za soda na beer na madhara yake 🤣🤣Donogue v Stevenson
Hakuna mpunga hapo jamani angekunywa nakukimeza bila kujua na kumletea madhara Sawa, arudishw Chupa kwenye kreti tu hiyoMpunga huo
Usiwe serious na vitu vidogo najua umeelewa,hapo nimekosea ni Mshahara .mashahara ndo nini..?
okay sawa mshangazi...Usiwe serious na vitu vidogo najua umeelewa,hapo nimekosea ni Mshahara .
Pole. Mitambo ya Kuosha Chupa inafanya kazi yake kama kawaida hivyo shaka la kuwa umekunywa Product ambayo sio rafiki kwa Afya ya Binadamu aipo. Mitambo yote dunia ya kisafisha Chupa aina uwezo wa kutoa Kisoda kilichoingizwa kwa Makusudi na mtu kama hiki kwenye Chupa yako.Pole sanaHabarini wadau....
Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu haikuonekana au kampuni haiko serious sana kwa Sasa.
HaipoPole. Mitambo ya Kuosha Chupa inafanya kazi yake kama kawaida hivyo shaka la kuwa umekunywa Product ambayo sio rafiki kwa Afya ya Binadamu aipo. Mitambo yote dunia ya kisafisha Chupa aina uwezo wa kutoa Kisoda kilichoingizwa kwa Makusudi na mtu kama hiki kwenye Chupa yako.Pole sana
Hii comment yako ni VichekeshoUlitaka tujue tu kuwa kwenu kuna sherehe mmenunua kreti ya soda nasema uongo ndugu zangu?
Kuchafuana ni kubaya Ila tuje koka ama soda Ina faida gani kiafya. Ila sijapenda suala la kuchafuana kibiashara Ila napenda tuongelee kuwa Ni Nani ameshawahi shauriwa na daktari kuwa kunywa soda ama unayo mapungufu ya kutokunywa soda ivyo kunywa soda nyingi.Watu wanapenda sana kuchafulia wenzao biashara ndiyo maana hatuendelei. Kila siku utasikia coca cola sijui haifai kwa matumizi mara inasukari nyingi mara sijui nini hii ni mbinu adui anatumia kumuharibia mwenzio biashara. Sawa ajali kazini tunaendelea kunywa product ya coca cola mboba mabasi yakipata ajali tunapanda bado ? Acheni kuharibu brand za wenzenu. Na kweli kaleta na kapicha kake kwa nini usiwafate coca wenyewe uwaeleze wachukue hatua kama ni kweli.
Hv huwa ina maana gan
Yap mkuu natumia plastiki...na pia kitambaa kimesinyaa.....kama unaweza kubattle sema...hivi nimetafuta kwa jasho langu and am happy kwa maisha nayoishi.....Nina pesa tofauti na unvofikiriadah mpka leo unatumia plastiki sebuleni kwako asee tafuta pesa na hako kakochi mbona kamesinyaa hivyo kitambaa cha bei chee au sio
dah mpka leo unatumia plastiki sebuleni kwako asee tafuta pesa na hako kakochi mbona kamesinyaa hivyo kitambaa cha bei chee au sio
pesa zinaemdana na thamani ya vitu unavyomiliki😂😂😂😂 bato ya nini kusema tu ukweli basi unalia lia dah...... kweli una pesa chche kuliko ninavyofikiria....Yap mkuu natumia plastiki...na pia kitambaa kimesinyaa.....kama unaweza kubattle sema...hivi nimetafuta kwa jasho langu and am happy kwa maisha nayoishi.....Nina pesa tofauti na unvofikiria
Habarini wadau....
Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu haikuonekana au kampuni haiko serious sana kwa Sasa.
Ni mtazamo wako mkuu....pesa zinaemdana na thamani ya vitu unavyomiliki😂😂😂😂 bato ya nini kusema tu ukweli basi unalia lia dah...... kweli una pesa chche kuliko ninavyofikiria....
badilika mkuu plastiki ni vyombo vya mateja