Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Magazeti na radio kwa sasa siyo biashara. Ni kama ilivyo kwa sinu za mezani. Hata TV nazo zinachehemea sana.Biashara ya redio na TV kwa sasa ni ngumu mno. Hakuna TV wala radio station wanaokula bata. Labda vyombo vya habari vya serikali tu. Huku kwingine mambo yashaharibika kufuatia ukuaji wa social media. Watangazaji na waandishi wa habari wa magazeti hulipwa hela kidogo.
Mambo yashaharibika kabisa Mama D. Wengi wa waliofungua redio stations kwa kufuata mkumbo wanajuta. Ukiachilia mbali social media kuwavuruga ila pia ushindani umekuwa mkali kupitiliza. Zamani kwenye kipindi unakuwa na mtangazaji mmoja tu ambaye pia ndo anakuwa DJ lakini siku hizi utakuta Wasafi au Clouds wanakuwa na watu hata watano kwenye kipindi kimoja. Na katika hao watu karibu wote ni maarufu mno.Wenye media zao wanatakiwa wabadilike na mabadiliko ya teknolojia.
Wakitaka ku survive wajiongeze sana kwa kubuni products mpya kadri ya mahitaji ya jamii
Wakisema wakae kimya au walalamike tuu wamekwisha
Nasikia pia ana kimeo cha million 800 CRDB , sijui sasa itakuwajeView attachment 2467673
Miaka mitatu iliyopita tuliweka hili bandiko kwa kinachoendelea pale Mwanza kuhusu RFA, Kiss FM na StarTV palipokuwa na mgomo baridi.
Week hii kabla ya kufunga mwaka nashangaa tena, ni full gospel na muziki aina nyingine ukipigwa non stop na hakuna matangazo, nilimpigia simu mdau wangu pale akanitonya kuwa ni mgomo umeamka tena, wafanyakazi hawana mshahara miezi kadhaa sasa.Maskini RFA, ndiyo kwaheri hivyo
Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzuni kwa kweli, watangazaji wanabadilishana kutwa hao hao. Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa DW radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu...www.jamiiforums.com
Muite huyu mzee kijana
Pascal Mayalla atakuendeshea kwa ufanisi kazi yako kusuburi mrejesho mwisho wa mwaka.
Dialo anaogopa nini kuuza hivi vyombo au kuingia mkataba na wawekezaji?.
Mpaka sasa hivi IPP Media Kuna Wana wanadai mishahara YaoEatv walipitia hiyo hali... kama una wadau una weza kuwa uliza zaidi...
Ni hali ya kawaida ktk kampuni pale inapoyumba...
Hii ndio nafasi sasa ya kwenda kumpata Odana Madai wa ITV, my crushBiashara ya redio na TV kwa sasa ni ngumu mno. Hakuna TV wala radio station wanaokula bata. Labda vyombo vya habari vya serikali tu. Huku kwingine mambo yashaharibika kufuatia ukuaji wa social media. Watangazaji na waandishi wa habari wa magazeti hulipwa hela kidogo.
Sio Mtanzania?ni Raia WA wapi?kabila gani?Diallo alijipendekeza mwenyewe, mwaka 2015, hakutumwa na Magufuli, Magufuli never had any promise or kind of agreement with diallo, Kwanza diallo sio mtanzania, ni Mamluki, apotelee mbali huko
Kwa hili nawapa big up Clouds Media Group wazee wa mchongo pesaWenye media zao wanatakiwa wabadilike na mabadiliko ya teknolojia.
Wakitaka ku survive wajiongeze sana kwa kubuni products mpya kadri ya mahitaji ya jamii
Wakisema wakae kimya au walalamike tuu wamekwisha
Lishenzi sio auDialo sikujua km ni mpuuzi kiasi kile
Magufuli alimsaidia kwenye mkwamo kuokoa sahara media isifilisike
Magufuli alivyofariki akaitisha Sahara media kumtukana magufuli
Alijua kumtukana magufuli kutamfanya apendwe na samia
Samia amelitupa mbali lipambane na hali yake na limepokonywa uenyekiti wa ccm mkoa
Unamshauri kuuza, wewe au baba yako alimsaidia kuanzisha!?View attachment 2467673
Miaka mitatu iliyopita tuliweka hili bandiko kwa kinachoendelea pale Mwanza kuhusu RFA, Kiss FM na StarTV palipokuwa na mgomo baridi.
Week hii kabla ya kufunga mwaka nashangaa tena, ni full gospel na muziki aina nyingine ukipigwa non stop na hakuna matangazo, nilimpigia simu mdau wangu pale akanitonya kuwa ni mgomo umeamka tena, wafanyakazi hawana mshahara miezi kadhaa sasa.Maskini RFA, ndiyo kwaheri hivyo
Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzuni kwa kweli, watangazaji wanabadilishana kutwa hao hao. Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa DW radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu...www.jamiiforums.com
Muite huyu mzee kijana
Pascal Mayalla atakuendeshea kwa ufanisi kazi yako kusuburi mrejesho mwisho wa mwaka.
Dialo anaogopa nini kuuza hivi vyombo au kuingia mkataba na wawekezaji?.
Ni vituko hasa, clouds wana vichwa kama PJ, Mkazuzu, Prisca Kishamba, Edgar Kibwana, Amina Ally na wengine wengi kwa umahiri wao wa kuongoza vipindi ukute wanalia njaa ni aibu kubwa. RFA wanasikika nchi nzima ni aibu kushindwa kuwalipa watangazaji wakeSasa hizi Media si huwa wanapewa tender za matangazo na makampuni. Ina maana Media kama Wasafi ilivyo na matangazo ama Clouds Media group halafu waseme hela za kulipa wafanyakazi hawana si vituko hivyo.
Jamaa kaishiwa mbinu labda au alipukutishwa na Task force 🤣🤣🤣ni vituko hasa, clouds wana vichwa kama pj, mkazuzu, prisca kishamba, edgar kibwana, amina ally na wengine wengi kwa umahiri wao wa kuongoza vipindi ukute wanalia njaa ni aibu kubwa. Rfa wanasikika nchi nzima ni aibu kushindwa kuwalipa watangazaji wake
Hawa Sahara inaonekana walishafirisika, sababu hata matangazo hawana mkuu, ukisikiliza baadhi ya vipindi, utasikia mtangazaji tupate breki, alafu anapiga jingle la kipindi chake.Sasa hizi Media si huwa wanapewa tender za matangazo na makampuni. Ina maana Media kama Wasafi ilivyo na matangazo ama Clouds Media group halafu waseme hela za kulipa wafanyakazi hawana si vituko hivyo.
Nenda kaulize wamekaa kwa muda gani?Mpaka sasa hivi IPP Media Kuna Wana wanadai mishahara Yao
Sema redio ikiwa haina maajabu na wasikilizaji wengi inakuwa hovyo ila nashangaa ilikuwaje maana jamaa waliiteka kanda ya ziwa. Kiss FM ilikuwa yamoto sana miaka ile 2004-2009 huku RFA ndio balaa zaidi katika majiji yote nchini kuanzia MZA, DAR na hata ArachugaHawa Sahara inaonekana walishafirisika, sababu hata matangazo hawana mkuu, ukisikiliza baadhi ya vipindi, utasikia mtangazaji tupate breki, alafu anapiga jingle la kipindi chake.
Wenye makampuni nao wanaangalia impact on duty kabla na baada ya kuweka pesa yao.