Aibu nyingine kubwa kwa Israel

Aibu nyingine kubwa kwa Israel

Baada ya Israel kupata kipigo cha makombora na drone toka Iran sasa Sasa inafuata Jordan kwa kujifanya kiherehere
⚡️BREAKING

Iran says it is watching Jordan and it can become a target if it helps Israel in its next move!
Muhammad amekuambukiza chuki yake kwa Mayahudi
 
Kweli huyu nimeamini ndie mlinzi wa mstari wa mbele wa taifa teule la Muingereza na America hata Paulo alikufa kabla ya kuwepo taifa lilopandikizwa na Muingereza, Paulo alimkusudia Yakobo ndio Israel c nchi.

Kweli wengine tukiwambia Jordan, Egypt, Saud Arabia, UAE na Morocco ni warabu lakini wanawapenda cousin zao kuliko warabu wenzao 😄

Yani wanakubali wa Palestine wafe ili abaki Zionist
Wewe inasema Paulo alikufa kabla. Unajua Paulo alikuwa kabila gani na aliishi wapi wewe? Unaweza kukimbia nyumbani kwako kwa ajili ya vita au kutafuta riziilki ila Kuna siku utatudi nyumbani. Pale ni kwao na pataendelea kuwa kwao. Hao wanaojiita Wafilist kwanza sio wafilisto Bali mijiarabu ilisombwa sombwa sehemu mbalimbali na Mturuki wakati wa ottoman empire na kuletwa hapo.Mwabieni Mturuki awarudishe hao waarabu Koko slikowatoa ili waiache ardhi ya muizrael
 
We unahisi ni rahasi kama kuandika na hicho kitecno chako?🤣
Baada ya Israel kupata kipigo cha makombora na drone toka Iran sasa Sasa inafuata Jordan kwa kujifanya kiherehere
⚡️BREAKING

Iran says it is watching Jordan and it can become a target if it helps Israel in its next move!
 
Kwa nini mumtaje US .

US ameshakuwa wazi hatopigana ugomvi unaoanzishwa na Israel, atamsaidia tu fedha na vifaa.

Kila mnapoongelea Israel vs Iran basi mnamtaja US.

LEO HII KILE KICHAKA CHA IDF KUWA JESHI BORA MIDDLE EAST KIMEFYEKWA.
Wewe kwa akili zako unahisi lingekuwa jeshi legelege angeishi pale na maadui pande zote? Ndo maana hata Iran hajapiga full scale war amerusha tukombora tu halafu akatulia...
 
Iran amerusha makombola na drones mamia asilimia 99 yamepigwa chini usipotoshe watu humu kwamba Israel imepigwa na Israel imetoa green light kwa jeshi lake kujibu subilieni tu namm nasemaje kwa Israel ilivyoweza jilinda kwa hayo mashambulizi je Iran ataweza akipigwa counter attacks 😂😂😂
nyoosha maelezo mkuu,imejilinda au imelindwa?
 
Back
Top Bottom