ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Mbona hata hao wazungu wanalitumia sana neno propaganda, wamezuia vyanzo mbali mbali vya Urusi ili kuwakinga watu wao wasipate propaganda za UrusiHamna neno lingine maustadhi mnalolijua zaidi ya "propaganda"
Umechanganyikiwa!!! kwani humu kumeandikwa kiarabu ?jikite kwenye hoja acha viojaNdio neno mumebakia nalo tangu huu ugomvi unaanza, tumieni la kiarabu basi.
Hilo neno lipo na litaendelea sana kutumika maana mazingira ni rafiki sanaili kidogo muonekane tofauti maana kila siku mnatumia neno moja hilo tu
Tutaendelea kulitumia hata vita ikiishaMlianza kulitumia tangu msafara unapigwa.....na mtaendelea kuumbuka hehehe
Wewe mburulaz ndio unaona mbele?? Hahahahaha vitu vingine vinachekesha sana.Urusi hali ni mbaya sana think tank wa Russia hawapo tena wamebaki watu ambao hawaoni mbele, sisi tuko tayari kuwashabikia but hatoweza kurudisha himaya ya Soviet kamwe na asipokaa vzr Russia kwenyewe kitamegwa tena vipande vipande, achana na watu wenye akili bwana
Hakuna wa kutuumbuahehehe safi na tutendelea kuwaumbua
Mweupe sanaaa huna ubavuMimi nipo humu kuwaumbua
Wewe ndio kiboko!!!!Kiboko yenu humu
Una chuki sana na maostadh. Nikwambie tu, sisi tunaishi nao vizuri na usitake kutugawanya kidini wala kuhusisha vita ya Russia na Ukraine na mambo ya dini. Majuzi Saudi Arabia wamepeleka msaada huko Ukraine sasa sijajua kama hao Saudi wamebadilika na sio waislamu tena.hehehe hivyo maustadhi wanafahamika kwa hayo ya mambasa
Umechanganyikiwayenu... nawacharaza