Aibu nyingine - Urusi inapata msaada kutoka kwa wakimbizi wa Palestina na magaidi wa Hezbollah

Aibu nyingine - Urusi inapata msaada kutoka kwa wakimbizi wa Palestina na magaidi wa Hezbollah

Mbona hata hao wazungu wanalitumia sana neno propaganda, wamezuia vyanzo mbali mbali vya Urusi ili kuwakinga watu wao wasipate propaganda za Urusi

Ndio neno mumebakia nalo tangu huu ugomvi unaanza, tumieni la kiarabu basi.
 
Urusi hali ni mbaya sana think tank wa Russia hawapo tena wamebaki watu ambao hawaoni mbele, sisi tuko tayari kuwashabikia but hatoweza kurudisha himaya ya Soviet kamwe na asipokaa vzr Russia kwenyewe kitamegwa tena vipande vipande, achana na watu wenye akili bwana
Wewe mburulaz ndio unaona mbele?? Hahahahaha vitu vingine vinachekesha sana.

Ukute mpaka leo babako anakaa nyumba ya nyasi alafu unajiita unaona mbali hehehehehe wabongo tunashangaza sana
 
Mimi ni mkristo lakini huyu jamaa sijui maostadh walimfanya nini. Muulizeni vizuri jamani usikute alienda vacation Mombasa akafanyiwa mambo sio na maostadh

hehehe hivyo maustadhi wanafahamika kwa hayo ya mambasa
 
hehehe hivyo maustadhi wanafahamika kwa hayo ya mambasa
Una chuki sana na maostadh. Nikwambie tu, sisi tunaishi nao vizuri na usitake kutugawanya kidini wala kuhusisha vita ya Russia na Ukraine na mambo ya dini. Majuzi Saudi Arabia wamepeleka msaada huko Ukraine sasa sijajua kama hao Saudi wamebadilika na sio waislamu tena.

Hayo mambo yako ya udini yaishie hukohuko Kenya na ukiendelea tutaomba Mods wakufungie.
 
Back
Top Bottom