Hizo hazina umuhimu tena, Israel alishawapa suluhu kimya kimya haziskiki tena, ilikua hapo mwanzo mwanzo..... kwa kifupi Waarabu na waajemi na yeyote kwenye hiyo dini ya chuki dhidi ya Israel huwa hawana uwezo wowote mbele ya Myahudi.
Anapara msaada sawa ila ni mabomu mangapi yamepiga moscow kutoka ukraine. Hebu acheni kuokoteza habari majalalani. 30 for 1 sio kitu kidogo na bado mnapigwa tu. Hii vita ingekuwz 31 for 1 na marekani angeshadondosha nyukilia zamani na hakuna wa kumuuliza
Supapawa anapata tabu sana, mpaka amefuata msaada kwa wakimbizi na magaidi wa kidini......
Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon
Russian organizations reportedly offered $350 to convince Palestinian residents of Lebanon to join the ongoing conflict in Ukraine, according to a security source in the Lebanese government via The Media Line on Monday.
The source also stated that individuals connected to the Palestinian embassy in Beirut are leading the recruitment drive.
Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon, located close to the port city of Sidon.
According to reports, the recruits are affiliated with the Popular Front for the Liberation of Palestine and the Fatah political movement, which Mahmoud Abbas - the president of the Palestinian Authority - leads. According to reports, the individuals consent to participate in the fight in Ukraine on behalf of Russian forces in exchange for a monthly stipend and benefits for their families.
According to the Lebanese security source, the Hezbollah terrorist organization - which has bases in Lebanon and receives support from Iran - coordinates the recruitment of Palestinians and other people. The source also claimed that Hezbollah is aggressively recruiting young supporters to aid Russia in the conflict in Ukraine, especially those proficient at operating drones and those knowledgeable in guerrilla warfare in urban settings.
Wakenya hawana shukrani kabisa, walipewa msaada wa chakula na Dubai lakini hao waarabu anavowaponda sasa, warusi wamepeleka mbolea ili wakenya waweze kulima na wasife na njaa lakini kosa wawashukuru kutwa ni kuwatweza hao warusi saa nyingine nasema mkenya bora akipata shida asisaidiwe hawana shukrani hawa.
Kuna jibu nilikua nimekupa saizi yako kwa ajili ya wewe kujaribu kubadilisha mada, ila naona limefutwa, haya bibi wacha nipunguze makali, nani kakupa ruhusa ya kubishana na wanaume humu...
Una chuki sana na maostadh. Nikwambie tu, sisi tunaishi nao vizuri na usitake kutugawanya kidini wala kuhusisha vita ya Russia na Ukraine na mambo ya dini. Majuzi Saudi Arabia wamepeleka msaada huko Ukraine sasa sijajua kama hao Saudi wamebadilika na sio waislamu tena.
Hayo mambo yako ya udini yaishie hukohuko Kenya na ukiendelea tutaomba Mods wakufungie.
Kuwa makini na kuishi nao wameshaagizwa Nini Cha kukufanya
Koran 5.33 The punishment of those who wage war against Allah and Muhammad and strive to make mischief in the land is only this, that they should be murdered or crucified or their hands and their feet should be cut off on opposite sides or they should be imprisoned;
Leviticus 15:19-23
‘When a woman has a discharge, if her discharge in her body is blood, she shall continue in her menstrual impurity for seven days; and whoever touches her shall be unclean until evening. Everything also on which she lies during her menstrual impurity shall be unclean, and everything on which she sits shall be unclean. Anyone who touches her bed shall wash his clothes and bathe in water and be unclean until evening.read more.
Mkuu labda naomba unieleweshe,,vita inapiganwa urusi na Ukraine mbali kabisa huko,,,inaathiri vipi upandaji wa mazao Huku kwetu umalila,,mbarali,,mpanda,,ulanga,,ifakara,,kilombero nk mpaka Michele,,maharage,,Nazi,,nyanya na vitunguu vipande Bei?
Hizo hazina umuhimu tena, Israel alishawapa suluhu kimya kimya haziskiki tena, ilikua hapo mwanzo mwanzo..... kwa kifupi Waarabu na waajemi na yeyote kwenye hiyo dini ya chuki dhidi ya Israel huwa hawana uwezo wowote mbele ya Myahudi.
Anapara msaada sawa ila ni mabomu mangapi yamepiga moscow kutoka ukraine. Hebu acheni kuokoteza habari majalalani. 30 for 1 sio kitu kidogo na bado mnapigwa tu. Hii vita ingekuwz 31 for 1 na marekani angeshadondosha nyukilia zamani na hakuna wa kumuuliza
Naona umeibuka baada ya njaa ya mwarabu....hongera kama ulikamilisha bila kula kula gizani.
Marekani hajawa na tabu ya kuvamia kataifa jirani, ni aibu sana kwa supapawa kushindwa kufumua kataifa hapo nje kibarazani mwake, Marekani hupigana vita mbali sana yaani kidume wa dunia.
Naona umeibuka baada ya njaa ya mwarabu....hongera kama ulikamilisha bila kula kula gizani.
Marekani hajawa na tabu ya kuvamia kataifa jirani, ni aibu sana kwa supapawa kushindwa kufumua kataifa hapo nje kibarazani mwake, Marekani hupigana vita mbali sana yaani kidume wa dunia.
Supapawa anapata tabu sana, mpaka amefuata msaada kwa wakimbizi na magaidi wa kidini......
Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon
Russian organizations reportedly offered $350 to convince Palestinian residents of Lebanon to join the ongoing conflict in Ukraine, according to a security source in the Lebanese government via The Media Line on Monday.
The source also stated that individuals connected to the Palestinian embassy in Beirut are leading the recruitment drive.
Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon, located close to the port city of Sidon.
According to reports, the recruits are affiliated with the Popular Front for the Liberation of Palestine and the Fatah political movement, which Mahmoud Abbas - the president of the Palestinian Authority - leads. According to reports, the individuals consent to participate in the fight in Ukraine on behalf of Russian forces in exchange for a monthly stipend and benefits for their families.
According to the Lebanese security source, the Hezbollah terrorist organization - which has bases in Lebanon and receives support from Iran - coordinates the recruitment of Palestinians and other people. The source also claimed that Hezbollah is aggressively recruiting young supporters to aid Russia in the conflict in Ukraine, especially those proficient at operating drones and those knowledgeable in guerrilla warfare in urban settings.
Hamna mwanzo wa vita vya tatu, Putin ametelekezwa na Mchina, Mhindi hata na Mwarabu, hakuna anayetaka huo uchizi wake, na akijaribu kuamuru hayo manyuklia yake atauawa na majenerali wake maana wao wanajua siku wakiyatumia ndio Urusi itafutwa kwenye ramani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.