Aibu nyingine - Urusi inapata msaada kutoka kwa wakimbizi wa Palestina na magaidi wa Hezbollah

Hujui usemalo. Kaulize au katafiti uone drones inazotumia Urusi kuiumiza Ukraine zinatoka wapi? Nani ampige Iran pini wakati wazungu wanahaha kusaka wese na gesi?

Hizo hazina umuhimu tena, Israel alishawapa suluhu kimya kimya haziskiki tena, ilikua hapo mwanzo mwanzo..... kwa kifupi Waarabu na waajemi na yeyote kwenye hiyo dini ya chuki dhidi ya Israel huwa hawana uwezo wowote mbele ya Myahudi.
 
Anapara msaada sawa ila ni mabomu mangapi yamepiga moscow kutoka ukraine. Hebu acheni kuokoteza habari majalalani. 30 for 1 sio kitu kidogo na bado mnapigwa tu. Hii vita ingekuwz 31 for 1 na marekani angeshadondosha nyukilia zamani na hakuna wa kumuuliza
 
Supapawa anapata tabu sana, mpaka amefuata msaada kwa wakimbizi na magaidi wa kidini......

Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon

Russian organizations reportedly offered $350 to convince Palestinian residents of Lebanon to join the ongoing conflict in Ukraine, according to a security source in the Lebanese government via The Media Line on Monday.
The source also stated that individuals connected to the Palestinian embassy in Beirut are leading the recruitment drive.
Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon, located close to the port city of Sidon.

According to reports, the recruits are affiliated with the Popular Front for the Liberation of Palestine and the Fatah political movement, which Mahmoud Abbas - the president of the Palestinian Authority - leads. According to reports, the individuals consent to participate in the fight in Ukraine on behalf of Russian forces in exchange for a monthly stipend and benefits for their families.

According to the Lebanese security source, the Hezbollah terrorist organization - which has bases in Lebanon and receives support from Iran - coordinates the recruitment of Palestinians and other people. The source also claimed that Hezbollah is aggressively recruiting young supporters to aid Russia in the conflict in Ukraine, especially those proficient at operating drones and those knowledgeable in guerrilla warfare in urban settings.

Wewe ndiyo wanaokula hapo hapo na kunya hapo hapo. Jistiri kidogo, ukishakula usinye hapo hapo, jifanye kama unajwenda kuchimba dawa kama hauna choo.

Usiwe mwizi wa fadhila, hao unaowasema ndiyo jana tumeona wanawasaidia Kenya.
 
Bibi kizeee umerudi, mfungo umeisha umeanza na matusi. Mfungo wako haukukusaidia kitu chochote

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndiyo wanaokula hapo hapo na kunya hapo hapo. Jistiri kidogo, ukishakula usinye hapo hapo, jifanye kama unajwenda kuchimba dawa kama hauna choo.

Usiwe mwizi wa fadhila, hao unaowasema ndiyo jana tumeona wanawasaidia Kenya.

Wakenya hawana shukrani kabisa, walipewa msaada wa chakula na Dubai lakini hao waarabu anavowaponda sasa, warusi wamepeleka mbolea ili wakenya waweze kulima na wasife na njaa lakini kosa wawashukuru kutwa ni kuwatweza hao warusi saa nyingine nasema mkenya bora akipata shida asisaidiwe hawana shukrani hawa.
 
Wewe ndiyo wanaokula hapo hapo na kunya hapo hapo. Jistiri kidogo, ukishakula usinye hapo hapo, jifanye kama unajwenda kuchimba dawa kama hauna choo.

Usiwe mwizi wa fadhila, hao unaowasema ndiyo jana tumeona wanawasaidia Kenya.

Kuna jibu nilikua nimekupa saizi yako kwa ajili ya wewe kujaribu kubadilisha mada, ila naona limefutwa, haya bibi wacha nipunguze makali, nani kakupa ruhusa ya kubishana na wanaume humu...
 
Una chuki sana na maostadh. Nikwambie tu, sisi tunaishi nao vizuri na usitake kutugawanya kidini wala kuhusisha vita ya Russia na Ukraine na mambo ya dini. Majuzi Saudi Arabia wamepeleka msaada huko Ukraine sasa sijajua kama hao Saudi wamebadilika na sio waislamu tena.

Hayo mambo yako ya udini yaishie hukohuko Kenya na ukiendelea tutaomba Mods wakufungie.
Kuwa makini na kuishi nao wameshaagizwa Nini Cha kukufanya

Koran 5.33 The punishment of those who wage war against Allah and Muhammad and strive to make mischief in the land is only this, that they should be murdered or crucified or their hands and their feet should be cut off on opposite sides or they should be imprisoned;
 
Ndivyo ulivyodanganywa.

Uislam umekuja kukomboa walimwengu wote. Nyie ndio mnawafanya wanawake mali zenu.
Mwanamke wa kiislamu hana thamani yoyote mbele ya Allah

Allah alikuwa bize kutoa zawadi za P za wanaume akasahau kabisa 😂 Kuna wanawake
 
Leviticus 15:19-23
‘When a woman has a discharge, if her discharge in her body is blood, she shall continue in her menstrual impurity for seven days; and whoever touches her shall be unclean until evening. Everything also on which she lies during her menstrual impurity shall be unclean, and everything on which she sits shall be unclean. Anyone who touches her bed shall wash his clothes and bathe in water and be unclean until evening.read more.

Source: 11 Bible verses about Menstruation
Pedophile Muhammad yeye alikuwa anapiga miti

fondle wanawake wapo periods ?

When ever Muhammad wanted to fondle any of his wives during the periods (menses), he used to ask her to wear an Izar. Sahih al-Bukhari 303
 
Mkuu labda naomba unieleweshe,,vita inapiganwa urusi na Ukraine mbali kabisa huko,,,inaathiri vipi upandaji wa mazao Huku kwetu umalila,,mbarali,,mpanda,,ulanga,,ifakara,,kilombero nk mpaka Michele,,maharage,,Nazi,,nyanya na vitunguu vipande Bei?
Ni kweli hujui au unasanifu?
 
Hizo hazina umuhimu tena, Israel alishawapa suluhu kimya kimya haziskiki tena, ilikua hapo mwanzo mwanzo..... kwa kifupi Waarabu na waajemi na yeyote kwenye hiyo dini ya chuki dhidi ya Israel huwa hawana uwezo wowote mbele ya Myahudi.
Ila wabusu jiwe wangekuwa na nguvu tungeisha , Yani wameanzisha adi kulipukiwa watu na mabomu lakini wapi wanapewa kichapo
 
Ukraine sio supapawa, pili siku NATO wakitia guu pale kumsaidia, ndio Urusi itafutika, sijui waarabu watamtegemea nani mwingine.
US super power,mbona hata akienda vitani na ka nchi dhaifu kama Iraq lazima aende na washirika wake?
Au Iraq ni super power?Hahaaaaaaa,SMO iendelee!
 
Anapara msaada sawa ila ni mabomu mangapi yamepiga moscow kutoka ukraine. Hebu acheni kuokoteza habari majalalani. 30 for 1 sio kitu kidogo na bado mnapigwa tu. Hii vita ingekuwz 31 for 1 na marekani angeshadondosha nyukilia zamani na hakuna wa kumuuliza
kwamba sasa hv mnataka na Ukraine iwe gaidi kama Urusi ? au unahisi hawawez ?
 
US super power,mbona hata akienda vitani na ka nchi dhaifu kama Iraq lazima aende na washirika wake?
Au Iraq ni super power?Hahaaaaaaa,SMO iendelee!

Naona umeibuka baada ya njaa ya mwarabu....hongera kama ulikamilisha bila kula kula gizani.

Marekani hajawa na tabu ya kuvamia kataifa jirani, ni aibu sana kwa supapawa kushindwa kufumua kataifa hapo nje kibarazani mwake, Marekani hupigana vita mbali sana yaani kidume wa dunia.
 
Kidume anaenda kumpiga Iraq na washirika wake!😀
 
Huyo mwarabu wenu alipigwaaa!!! Waarabu wengine walijifunza na kutia adabu...

Kidume wa dunia tunamkubali maana tungewaachia hii dunia hao mabwana zenu tungekua tumelipuliwa.
 
Supapawa anapata tabu sana, mpaka amefuata msaada kwa wakimbizi na magaidi wa kidini......

Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon

Russian organizations reportedly offered $350 to convince Palestinian residents of Lebanon to join the ongoing conflict in Ukraine, according to a security source in the Lebanese government via The Media Line on Monday.
The source also stated that individuals connected to the Palestinian embassy in Beirut are leading the recruitment drive.
Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon, located close to the port city of Sidon.

According to reports, the recruits are affiliated with the Popular Front for the Liberation of Palestine and the Fatah political movement, which Mahmoud Abbas - the president of the Palestinian Authority - leads. According to reports, the individuals consent to participate in the fight in Ukraine on behalf of Russian forces in exchange for a monthly stipend and benefits for their families.

According to the Lebanese security source, the Hezbollah terrorist organization - which has bases in Lebanon and receives support from Iran - coordinates the recruitment of Palestinians and other people. The source also claimed that Hezbollah is aggressively recruiting young supporters to aid Russia in the conflict in Ukraine, especially those proficient at operating drones and those knowledgeable in guerrilla warfare in urban settings.

Wewe unaona ni aibu,hujaona kuwa ni mwanzo wa vita ya 3 ya dunia.Katika vita vya kwanza na pili vya dunia mpaka babu yangu alishiriki.
 
Hamna mwanzo wa vita vya tatu, Putin ametelekezwa na Mchina, Mhindi hata na Mwarabu, hakuna anayetaka huo uchizi wake, na akijaribu kuamuru hayo manyuklia yake atauawa na majenerali wake maana wao wanajua siku wakiyatumia ndio Urusi itafutwa kwenye ramani.
 
Back
Top Bottom