Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho tunafungua kesi ya kulazimisha watuhumiwa waletwe mahakamaniAaah okay,kesi ni lini?
Hata mjinga hawezi kusmini.Ni kweli naamini hayo, nia ya polisi ni ovu.
Haiwezekani huu ushahidi wao unatokea wakati huu wakiwa wamewakamata watuhumiwa, wanafanya hivyo kwa lengo la kuudanganya umma kwamba watuhumiwa walikuwa na hiyo mipango, na wale wahuni wanachukua huo uongo wa polisi na kuusambaza.
Utasema vipi simu yangu ilikuwa na mipango ovu dhidi ya serikali ikiwa wewe ndie uliyekuwa ukiishikilia kwa siku zaidi ya tatu? Ni mjinga pekee atakayeamini madai hayo ya polisi.
Sasa angekamatwa vipi, mpaka hapa unajuaje nani mkweli wakati polisi awajasema lolote, awajakiri kama hizo chats zipo kwenye simu kweli na wala hatujui kama hizo chats ni za Mwabukusi.Kwenye Nchi nyingine IGP angekamatwa
View attachment 2718990
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya , Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima , amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi .
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa .
Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini .
Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga , na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake
Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
Hapana.Wasitake tumalizane nao this Time......tuliwasamehe wakati wa Marehemu, sio this time again!
Kwani tuhuma za uhaini zimeshindikana tena?
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.
Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.
Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.
Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
Sasa wanatunga mpaka insta wakati wanaye mkononi? What went wrong?Mwabukusi "ameyakanyaga".
Phishing itajulikana tuNa tarehe hao polisi wata backdate vipi ili ionekane kabla ya tarehe ya kukamatwa.
Huu ni uhalifu.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.
Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.
Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.
Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
Hakika !Huu ni uhalifu.
Hakuna aliye juu ya sheria.
Serikali haiwezi kutunga sheria inazozikiuka yenyewe bila kuwajibishwa.
Mambo ya namna hii ndiyo yanayotakiwa kuwekewa uzito katika Katiba Mpya.
Polichi hufanya kazi ngumu zenye aibu ili tu kumlidhisha bwana mkuwa, wakati hao hao maisha yao ni duni sana.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.
Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.
Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.
Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
we ndio aibu kuleta huu upuuzi wako, apambane na mambo yake, mambo hayo ameyafanya mwenyewe asiwasakizie polisi.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.
Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.
Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.
Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
we zuzu unaamini huu ujinga na uzushi, hakuna polisi anayeweza kufanya hivyo. Mwabukusi amefanya mabo hayo mwenyewe apambane na hali yake waistafute huruma ya umma, washenzi kabisa wakanyee ndoo huko wakisubiri adhabu inayowastahili, halafu sikujua km wanyakyusa ni wapumbavu hivi. Mara wamlete chifu wa mchongo, mara sijui askofu wa mchongo, nyie ni wachovu tu hakuna mnaloweza kufanya nyau nyie. Kwanza bandari ya Dar Es Salaam inawahusu nini wenye bandari yao wamekaa kimya, nyie mwawashwa na nini. Ndio maana ule mji wa Mbeya bado wa kishamba sana. Watu wa hovyo wasio na adabu, mnataka kushindana na seriklai nyie nyau, kenge wakubwa mnatuchosha na upumbavu wenu.Wasitake tumalizane nao this Time......tuliwasamehe wakati wa Marehemu, sio this time again!
Unataka sema ?na wao ni easy targets, tunawaona kila siku, ofisi zao ziko peupe, na wengine tunaishi nao.
waache tu warndelee kutumika na wakoloni weusi