Aibu: Polisi yatuhumiwa kudukua simu ya Wakili Mwabukusi na kumuwekea maudhui Instagram ili impe kesi

Ni kweli naamini hayo, nia ya polisi ni ovu.

Haiwezekani huu ushahidi wao unatokea wakati huu wakiwa wamewakamata watuhumiwa, wanafanya hivyo kwa lengo la kuudanganya umma kwamba watuhumiwa walikuwa na hiyo mipango, na wale wahuni wanachukua huo uongo wa polisi na kuusambaza.

Utasema vipi simu yangu ilikuwa na mipango ovu dhidi ya serikali ikiwa wewe ndie uliyekuwa ukiishikilia kwa siku zaidi ya tatu? Ni mjinga pekee atakayeamini madai hayo ya polisi.
Hata mjinga hawezi kusmini.
 
Kwenye Nchi nyingine IGP angekamatwa
Sasa angekamatwa vipi, mpaka hapa unajuaje nani mkweli wakati polisi awajasema lolote, awajakiri kama hizo chats zipo kwenye simu kweli na wala hatujui kama hizo chats ni za Mwabukusi.

Kwanza kwanini polisi watoe ushahidi wao hadharani at this stage, si ajabu ukute UVCCM au chawa wa mama kafanya tu manufacturing ya chats, kasambaza mitandaoni; wanasheria wake wame panic and it’s all ‘a fuss, about nothing’.
 
View attachment 2718990

Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya , Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima , amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi .

Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa .

Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini .

Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga , na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake

Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
 
Attachments

  • IMG_20230323_192240.jpg
    IMG_20230323_192240.jpg
    12.8 KB · Views: 1
Wasitake tumalizane nao this Time......tuliwasamehe wakati wa Marehemu, sio this time again!
Hapana.
Usahihi ni "kumalizana" na uozo unakoanzia.
Hawa ni mawakala tu; vifaa vya kutendea kazi utavilaumu vipi?

'Focus' ielekezwa kwenye chanzo cha haya yote. Huo ndio mzizi unaotakiwa kung'olewa.

Na safari hii sioni watakavyo epuka kung'oka.
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.

Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.

Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.

Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.

Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
Kwani tuhuma za uhaini zimeshindikana tena?
 
Huu ni uhalifu.

Hakuna aliye juu ya sheria.
Serikali haiwezi kutunga sheria inazozikiuka yenyewe bila kuwajibishwa.

Mambo ya namna hii ndiyo yanayotakiwa kuwekewa uzito katika Katiba Mpya.
 
Hakika !
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.

Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.

Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.

Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.

Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
Polichi hufanya kazi ngumu zenye aibu ili tu kumlidhisha bwana mkuwa, wakati hao hao maisha yao ni duni sana.
Ukifuatilia Polichi wa Kiafrica walio wengi ni sheeda sana, niwachache sana wanaojielewa ila majority daaah., Ndiyo bwana mkubwa.
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.

Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.

Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.

Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.

Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
we ndio aibu kuleta huu upuuzi wako, apambane na mambo yake, mambo hayo ameyafanya mwenyewe asiwasakizie polisi.
 
Wasitake tumalizane nao this Time......tuliwasamehe wakati wa Marehemu, sio this time again!
we zuzu unaamini huu ujinga na uzushi, hakuna polisi anayeweza kufanya hivyo. Mwabukusi amefanya mabo hayo mwenyewe apambane na hali yake waistafute huruma ya umma, washenzi kabisa wakanyee ndoo huko wakisubiri adhabu inayowastahili, halafu sikujua km wanyakyusa ni wapumbavu hivi. Mara wamlete chifu wa mchongo, mara sijui askofu wa mchongo, nyie ni wachovu tu hakuna mnaloweza kufanya nyau nyie. Kwanza bandari ya Dar Es Salaam inawahusu nini wenye bandari yao wamekaa kimya, nyie mwawashwa na nini. Ndio maana ule mji wa Mbeya bado wa kishamba sana. Watu wa hovyo wasio na adabu, mnataka kushindana na seriklai nyie nyau, kenge wakubwa mnatuchosha na upumbavu wenu.
 
Back
Top Bottom