Aibu: Polisi yatuhumiwa kudukua simu ya Wakili Mwabukusi na kumuwekea maudhui Instagram ili impe kesi

Hata mjinga hawezi kusmini.
 
Kwenye Nchi nyingine IGP angekamatwa
Sasa angekamatwa vipi, mpaka hapa unajuaje nani mkweli wakati polisi awajasema lolote, awajakiri kama hizo chats zipo kwenye simu kweli na wala hatujui kama hizo chats ni za Mwabukusi.

Kwanza kwanini polisi watoe ushahidi wao hadharani at this stage, si ajabu ukute UVCCM au chawa wa mama kafanya tu manufacturing ya chats, kasambaza mitandaoni; wanasheria wake wame panic and it’s all ‘a fuss, about nothing’.
 
 

Attachments

  • IMG_20230323_192240.jpg
    12.8 KB · Views: 1
Wasitake tumalizane nao this Time......tuliwasamehe wakati wa Marehemu, sio this time again!
Hapana.
Usahihi ni "kumalizana" na uozo unakoanzia.
Hawa ni mawakala tu; vifaa vya kutendea kazi utavilaumu vipi?

'Focus' ielekezwa kwenye chanzo cha haya yote. Huo ndio mzizi unaotakiwa kung'olewa.

Na safari hii sioni watakavyo epuka kung'oka.
 
Kwani tuhuma za uhaini zimeshindikana tena?
 
Huu ni uhalifu.

Hakuna aliye juu ya sheria.
Serikali haiwezi kutunga sheria inazozikiuka yenyewe bila kuwajibishwa.

Mambo ya namna hii ndiyo yanayotakiwa kuwekewa uzito katika Katiba Mpya.
 
Huu ni uhalifu.

Hakuna aliye juu ya sheria.
Serikali haiwezi kutunga sheria inazozikiuka yenyewe bila kuwajibishwa.

Mambo ya namna hii ndiyo yanayotakiwa kuwekewa uzito katika Katiba Mpya.
Hakika !
 
Polichi hufanya kazi ngumu zenye aibu ili tu kumlidhisha bwana mkuwa, wakati hao hao maisha yao ni duni sana.
Ukifuatilia Polichi wa Kiafrica walio wengi ni sheeda sana, niwachache sana wanaojielewa ila majority daaah., Ndiyo bwana mkubwa.
 
we ndio aibu kuleta huu upuuzi wako, apambane na mambo yake, mambo hayo ameyafanya mwenyewe asiwasakizie polisi.
 
Wasitake tumalizane nao this Time......tuliwasamehe wakati wa Marehemu, sio this time again!
we zuzu unaamini huu ujinga na uzushi, hakuna polisi anayeweza kufanya hivyo. Mwabukusi amefanya mabo hayo mwenyewe apambane na hali yake waistafute huruma ya umma, washenzi kabisa wakanyee ndoo huko wakisubiri adhabu inayowastahili, halafu sikujua km wanyakyusa ni wapumbavu hivi. Mara wamlete chifu wa mchongo, mara sijui askofu wa mchongo, nyie ni wachovu tu hakuna mnaloweza kufanya nyau nyie. Kwanza bandari ya Dar Es Salaam inawahusu nini wenye bandari yao wamekaa kimya, nyie mwawashwa na nini. Ndio maana ule mji wa Mbeya bado wa kishamba sana. Watu wa hovyo wasio na adabu, mnataka kushindana na seriklai nyie nyau, kenge wakubwa mnatuchosha na upumbavu wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…