Roy Logan
JF-Expert Member
- Jan 22, 2021
- 790
- 3,190
Hawa kujidhalilisha sio jambo la ajabu kwao, maadamu aliyewatuma anafurahi wao haiwasumbui.Haki huinua taifa, kwa mara nyingine tena jeshi la polisi linajidhalilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa kujidhalilisha sio jambo la ajabu kwao, maadamu aliyewatuma anafurahi wao haiwasumbui.Haki huinua taifa, kwa mara nyingine tena jeshi la polisi linajidhalilisha
Noma sana !Polisi wajiweke mbali na haya mambo madogomadogo,hatakama wanapewa oda,wawe wanahoji.Hii inawachafua sana,halafu mwisho wa siku,viongozi haohao wanaotoa oda,wanakuja wanaanza kuwafokea mbele ya kadamnasi.Wajirekebishe, ikiwezekana hata kuijuzulu,ukiona unachoamriwa ni cha kijinga.
Mshahara inasemekana ni mdogo,kikokotoo kinawaimiza,halafu na watu wengine wawatumie kwa maslahi yao kweli?
PT,amkeni.
Very sad.Hawa kujidhalilisha sio jambo la ajabu kwao, maadamu aliyewatuma anafurahi wao haiwasumbui.
Hamna namna , kesi imekwisha kabla haijaanzaNa tarehe hao polisi wata backdate vipi ili ionekane kabla ya tarehe ya kukamatwa.
CCPwapi
Yaani hatuna polisi. Na ikichukuliwa maanani, Kingai ndie DCI mtaalam wa kesi za kubumba.View attachment 2718990
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya , Wakili wa Mwabukusi , Mwakilima , amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instargram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi .
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba , ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa .
Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini .
Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi , kugundulika kufanya njama hii ya kijinga , na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ndio akili yao ilipofikia
walijisahau hahahahahaNa tarehe hao polisi wata backdate vipi ili ionekane kabla ya tarehe ya kukamatwa.
Ukweli utajulikana tu mwisho wa siku hizo message za nani.walijisahau hahahahaha
Huo uelewa watatoa wapi...ngoja uone wakati wa cross examination jamaa wanaombaga kwenda haja ndogoNa tarehe hao polisi wata backdate vipi ili ionekane kabla ya tarehe ya kukamatwa.
Nani mkweli itajulikana tu mwisho wa sikuHuo uelewa watatoa wapi...ngoja uone wakati wa cross examination jamaa wanaombaga kwenda haja ndogo
Ivi Kibatala bado yupo,sijamsikia muda mrefu kidogoWatakutana na Cross examination ya Kibatala huko court
Kwenye Nchi nyingine IGP angekamatwaNani mkweli itajulikana tu mwisho wa siku
Do You Really Mean It !!!??Wasitake tumalizane nao this Time......tuliwasamehe wakati wa Marehemu, sio this time again!
Hii Nchi[emoji119]Kwenye Nchi nyingine IGP angekamatwa
Atakuwepo Mbeya kwenye Kesi hii , tumekwishampatia tiketi ya ndegeIvi Kibatala bado yupo,sijamsikia muda mrefu kidogo
Aaah okay,kesi ni lini?Atakuwepo Mbeya kwenye Kesi hii , tumekwishampatia tiketi ya ndege
Kuna vitu vinatia hasira sana hii nchi basi tu. Inasikitisha sanaIla Intelligence ya Polisi wa Kibongo ni mbovu mno.