Aibu sana: IDF wagundua data center ya HAMAS nchini ya majengo ya shirika la Umoja wa Mataifa (UNRWA)

Aibu sana: IDF wagundua data center ya HAMAS nchini ya majengo ya shirika la Umoja wa Mataifa (UNRWA)

Acha ujinga. Hamas ni chama cha kisiasa na ndicho kilichokuwa kinatawara gaza

Hata kama ni kweri hizo ni data center za kwao, unataka kusema hawakuwa na haki ya kuwa nazo?
kwan ccmu wamewai fungua ofisi zao binafs ndan ya ofisi za taasisi nyingine ? au unamaanisha ccmu haijachaguliwa ?
 
Ugaidi ni kwako wewe nawajinga wanzako lakini kwa wengine Hamas ni chama cha ukombozi kama vile ANC
mtu mweusi anampenda mwarab kuliko mweusi mwenzio , sijui nan aliwaroga hawa wavaa kobaz
 
Gaza ni eneo finyu sana kila kitu kipo karibu na mwenzake.Hata hospitali walizozibomoa kule jiji la Gaza walisema mengi na yote hayakupata uthibitisho.
Katika kipindi hiki cha vita kufikia kiwango kibaya kwa Israel wanatumia njia mbadala na za fitna kuwakosanisha Hamas na ulimwengu mzima.
Wafanyakazi wa hayo mashirika kutoka nje wameshajibu mara nyingi kuhusu uchochezi wa aina hiyo.Mmoja akauliza kwanini kipindi hiki na sio huko nyuma Israel imeliandama sana shirika hilo.
walimuua Mollel na Mtiga nayo ni Israel aliwachochea waue waafrika wenzangu maana ww ni mwarab kisa kuwa mwislam
 
Ni mtu mjinga,katili na mtu ambaye hana ubinadamu anayeweza kuwasapoti Israel.View attachment 2900881
Screenshot_20240211-164104.jpg
 
Waziri Mkuu wa Israel amesema ili waweze kuishi kwa amani Mashariki ya Kati.

Ni lazima wawafagie Hamas wote na kushinda vita dhidi Yao.

La sivyo watakuwa wanavamiwa vamiwa ovyo ovyo na kuuwawa muda wowote ule.

Anasema, vita ndio kwanza imeanza na haita simama.
 
Vita havina msalie mtume ndo maana Hamas wameua watanzania, watoto, vikongwe, wasiokuwa na hatia ndo mambo ya vita hayo!
Wale watanzania nasikia waliendelea kama wanajeshi.Hamas hawajafanya mauaji ya kikatili namna hii.Alafu wale wanasababu ya kupigana waisraeli feki wanachukua maeneo yao.
 
Back
Top Bottom