Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 878
- 1,511
Kitendo Cha kushika bomu ili kutaka kuwalushia/kuwalipua IDF ni sawa na kuonja sumu. Utadunguliwa bila kuangaliwa wewe ni mwanamke, kikongwe ama kichanga. Ndicho kilichowaponza hawaNi mtu mjinga,katili na mtu ambaye hana ubinadamu anayeweza kuwasapoti Israel.View attachment 2900881View attachment 2900882
Watu wapo serious mzee!! Kama wanajipenda wakae mbali na hiyo vita wawaachie Hamas wenyewe