Aibu sana: IDF wagundua data center ya HAMAS nchini ya majengo ya shirika la Umoja wa Mataifa (UNRWA)

Acha ujinga. Hamas ni chama cha kisiasa na ndicho kilichokuwa kinatawara gaza

Hata kama ni kweri hizo ni data center za kwao, unataka kusema hawakuwa na haki ya kuwa nazo?
kwan ccmu wamewai fungua ofisi zao binafs ndan ya ofisi za taasisi nyingine ? au unamaanisha ccmu haijachaguliwa ?
 
Ugaidi ni kwako wewe nawajinga wanzako lakini kwa wengine Hamas ni chama cha ukombozi kama vile ANC
mtu mweusi anampenda mwarab kuliko mweusi mwenzio , sijui nan aliwaroga hawa wavaa kobaz
 
walimuua Mollel na Mtiga nayo ni Israel aliwachochea waue waafrika wenzangu maana ww ni mwarab kisa kuwa mwislam
 
Waziri Mkuu wa Israel amesema ili waweze kuishi kwa amani Mashariki ya Kati.

Ni lazima wawafagie Hamas wote na kushinda vita dhidi Yao.

La sivyo watakuwa wanavamiwa vamiwa ovyo ovyo na kuuwawa muda wowote ule.

Anasema, vita ndio kwanza imeanza na haita simama.
 
Vita havina msalie mtume ndo maana Hamas wameua watanzania, watoto, vikongwe, wasiokuwa na hatia ndo mambo ya vita hayo!
Wale watanzania nasikia waliendelea kama wanajeshi.Hamas hawajafanya mauaji ya kikatili namna hii.Alafu wale wanasababu ya kupigana waisraeli feki wanachukua maeneo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…