Aibu sana, Tanzania (Taifa Stars) Hatuna Utamaduni wowote

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
10,392
Reaction score
15,948
Kuelekea AFCON 2024.

Vikosi vya mataifa mbali mbali vinawasili Cote D'Ivoire (Ivory Coast).

Kila Nchi inajitahidi sana kunadi utamaduni wa mavazi yao, kitu kinachopendeza sana.

Sisi Taifa Stars wameingia wakiwa wamevaa T-shirt za Sandaland

Kikosi cha Taifa Stars Kikiwasili




Waliowapokea Walivaa Hivi.

Hivi wameshindwa hata kuvaa kimasai?
At least ni utamaduni unaojulikana zaidi Afrika Mashariki. Ikiwa sisi ndio wawakilishi pekee kutoka Afrika Mashariki Kuu (Tanzania, Kenya na Uganda).

Nimesema (kuu) kwasababu kwa sasa hata DRC ni Afrika Mashariki.

Tumezidiwa hadi na The Mambas(Mozambique).

MOZAMBIQUE



Wizara ya Michezo na Utamaduni tujifunze kitu kutoka kwenye hii michuano zaidi ya kuchangishana tu.

Angalia Nchi Mbalimbali zilivyoingia Ivory Coast.

NIGERIA.



GHANA



SENEGAL


CAMEROON


GAMBIA


NAMIBIA.


EQUATORIAL GUINEA.





 
Hao wa msumbiji si mashati ya batiki? Nayo ni utamaduni, ? Halafu kule tunaenda kushindana mpira sio maonyesho ya utamaduni,

Msipovaa jersey za sandaland akiwashtaki kwa kukiuka mkataba na kumnyima airtime mna hela za kumlipa? Au mtachangishana ?
Sio kila kitu kuiga
 
Vaeni Kaunda suit 😁😁
 
Wamedarizi na kitambaa cha bendera yao.

Kwani Jersey si zinavaliwa uwanjani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…