Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamati ilisahau hili , wangepiga vazi la kimasai au msuli na kikoi km watu wa panic ZanzibarImagine wangeingia na vazi la Kimasai pale Cote D'Ivoire.
wangetisha sanaaa...
Hatujui kitu mkuu ,huwa nasema kila siku humuSisi tuna vingi kitamaduni.
Hahahaha, sisi hoya hoya sanaAu tuna exaggerate nini? Hahahhaha
Lakini kumbuka hatukwenda kwenye maonyesho ya mavazi wala mitindo, hivyo me naona hakuna kosa hapo.Imagine wangeingia na vazi la Kimasai pale Cote D'Ivoire.
wangetisha sanaaa...
Wala sijalalamika mkuu.Lakini kumbuka hatukwenda kwenye maonyesho ya mavazi wala mitindo, hivyo me naona hakuna kosa hapo.
NB. Ila nasisi wabongo kila kitu ni kulalamika tu.
Sure!Kamati ilisahau hili , wangepiga vazi la kimasai au msuli na kikoi km watu wa panic Zanzibar
Hao wa_Naija wameua Aisee! Safi sana. Sisi kipaumbele chetu labda ni wahamasishaji.Kuelekea AFCON 2024.
Vikosi vya mataifa mbali mbali vinawasili Cote D'Ivoire (Ivory Coast).
Kila Nchi inajitahidi sana kunadi utamaduni wa mavazi yao, kitu kinachopendeza sana.
Sisi Taifa Stars wameingia wakiwa wamevaa T-shirt za Sandaland
Kikosi cha Taifa Stars Kikiwasili.
View attachment 2867583
View attachment 2867584
View attachment 2867587
Hivi wameshindwa hata kuvaa kimasai?
At least ni utamaduni unaojulikana zaidi Afrika Mashariki. Ikiwa sisi ndio wawakilishi pekee kutoka Afrika Mashariki Kuu (Tanzania, Kenya na Uganda).
Nimesema (kuu) kwasababu kwa sasa hata DRC ni Afrika Mashariki.
Tumezidiwa hadi na The Mambas(Mozambique).
MOZAMBIQUE
View attachment 2867560
View attachment 2867563
Wizara ya Michezo na Utamaduni tujifunze kitu kutoka kwenye hii michuano zaidi ya kuchangishana tu.
Angalia Nchi Mbalimbali zilivyoingia Ivory Coast.
NIGERIA.
View attachment 2867556
View attachment 2867557
GHANA
View attachment 2867558
View attachment 2867559
Wenzetu wako makini sana , kila fursa wanaitumia , usikute ni mtu/mdau kaamua kuwavesha hao wachezajiSure!
Nafikiri hata hizo nchi nyingine wanafanya hivyo pamoja na kuonyesha utamaduni wao lakini pia, kupata attention ya mashabiki na kuteka media za huko Duniani.
Kama Ghana na Nigeria wametisha sana.
Sasa tulitakiwa kuwapata tension waone kuwa next tournament ni Tanzania, kwa kuwavalia kimasai , kanzu au msuli na kikoiWizara husika, fikra zao zinawaza maokoto.
Bila kujua Mashindano yajayo yanapigiwa kwetu.
Wanatakiwa waanze kututambua mapema kabisa kabla ya hiyo 2027.