Aibu sana, Tanzania (Taifa Stars) Hatuna Utamaduni wowote

Wewe unafikiri kamati zote zina kazi ipi? Au lipi haswa la maana liliundiwa kamati?
Ndio nazidi kujifunza.
Kamati ya kuchunguza sababu ya "wanafunzi" kufeli! ha ha ha, wakati wao wenyewe wanasaini mikataba ya kimangungo!
Kamati ya kuchunguza foleni Dar es salaam, wakati hata muuza karanga barabarani ukimuuliza anajua sababu.
Kamati ya Kushajihisha Taifa Stars, wakati mpira ni kipaji kinanzia aademy na si kelele za wasanii!
 
Duh!!
 
PSX_20240111_212552.png

Hii ni picha ya Namna Taifa Stars walivyopokelewa.
Walipata bashasha zao.

hilo Vazi ni la kitenge!!
 
Ukongo nyiny
Unaijeria nyinyi
Umarekani nyinyi
Hamueleweki ni watu wa Aina gani ?
 
Back
Top Bottom