Kuelekea AFCON 2024.
Vikosi vya mataifa mbali mbali vinawasili Cote D'Ivoire (Ivory Coast).
Kila Nchi inajitahidi sana kunadi utamaduni wa mavazi yao, kitu kinachopendeza sana.
Sisi Taifa Stars wameingia wakiwa wamevaa T-shirt za Sandaland
Kikosi cha Taifa Stars Kikiwasili
View attachment 2867583
View attachment 2867584
View attachment 2867587
Hivi wameshindwa hata kuvaa kimasai?
At least ni utamaduni unaojulikana zaidi Afrika Mashariki. Ikiwa sisi ndio wawakilishi pekee kutoka Afrika Mashariki Kuu (Tanzania, Kenya na Uganda).
Nimesema (kuu) kwasababu kwa sasa hata DRC ni Afrika Mashariki.
Tumezidiwa hadi na The Mambas(Mozambique).
MOZAMBIQUE
View attachment 2867560
View attachment 2867563
Wizara ya Michezo na Utamaduni tujifunze kitu kutoka kwenye hii michuano zaidi ya kuchangishana tu.
Angalia Nchi Mbalimbali zilivyoingia Ivory Coast.
NIGERIA.
View attachment 2867556
View attachment 2867557
GHANA
View attachment 2867558
View attachment 2867559