Wewe unafikiri kamati zote zina kazi ipi? Au lipi haswa la maana liliundiwa kamati?Sasa hiyo kamati ya vazi iliundwa kutafuna pesa za maskini au ilikuwa kuna ka hela kama kale ka EPA pale BOT hakana shughuli wakaamua katumike?
Ndio nazidi kujifunza.Wewe unafikiri kamati zote zina kazi ipi? Au lipi haswa la maana liliundiwa kamati?
Duh!!Ndio nazidi kujifunza.
Kamati ya kuchunguza sababu ya "wanafunzi" kufeli! ha ha ha, wakati wao wenyewe wanasaini mikataba ya kimangungo!
Kamati ya kuchunguza foleni Dar es salaam, wakati hata muuza karanga barabarani ukimuuliza anajua sababu.
Kamati ya Kushajihisha Taifa Stars, wakati mpira ni kipaji kinanzia aademy na si kelele za wasanii!