Sio kwa Sura ya TZ ingekuwa Kenya Uhuru ungeonekana hapa unamuona jaji mkuu anatembezwa majiani kila uchao.Mahakama ni muhimiri huru.
Uko nyuma sanaTayari maji yashamwagika kwani maelezo yao yamefanikisha vyombo vya usalama kufahamu mengi.
Sasa tuiachie mahakama ndo chombo cha mwisho.
Ukitaka kujua na wewe ufunguliwe mashtaka ya ugaidi. Utajua kama ni kweli au uongoTutajuaje kama wao hao hao ndiyo wanaocheza mchezo wa kujikosha?
Unajua walikamatwa lini?Hao watuhumiwa walionekana na majeraha au viashiria vya mateso?
Kama hawana ni sawa na mbwmbwe za kawaida za watuhumiwa.
Mi sikujua kama siro ni ziro kiasi hiki.Watuhumiwa hao watatu walioshitakiwa pamoja na Mbowe Wameiomba Mahakama kutoyatambua maelezo waliyoyaandika Polisi kwa vile waliyaandika kwa shinikizo la vipigo na mateso , hayakuwa maelezo ya kweli , bali waliyaandika ili wasiuawe kwa mateso .
Ombi hilo limetolewa Mahakamani na washitakiwa hao watatu , waliodai kwamba walilazimishwa kuandika maelezo ya uongo kibabe na kwa mateso makubwa mno , Polisi walitesa watuhumiwa hao kinyama ili kulazimisha kwamba walitumwa na Mbowe kufanya ugaidi kwa lengo la kuhalalisha Tuhuma dhidi ya Freeman Mbowe zilizopangwa kishamba ili kuwafurahisha watawala
Washitakiwa hao wamedai kwamba ili kujinusuru na mateso makubwa ya kinyama na ya kudhalilisha walipokuwa mikononi mwa Polisi , walilazimika kuandika MAELEZO YA UONGO WALIYOYATAKA POLISI ili kuokoa uhai wao
Lakini nyie husema mahakama isiingiliweMama nakuomba vaa ujasiri na uingilie kati. Najua unawaogopa waliokuzunguka. Katiba, vifungu vya Kurani na Sheria vinakulinda. Chochote utamkacho ni sheria. Muachie Freeman Mbowe sasa hivi.
Lazima iingiliwe kwenye kesi za kubambikiza.Lakini nyie husema mahakama isiingiliwe
Lakini mahakama hizi hizi ndio tulizisifia pale zilipoondoa kesi za mbowe, mdude n.k, na zilipomshughulikia Sabaya piaSio kwa Sura ya TZ ingekuwa Kenya Uhuru ungeonekana hapa unamuona jaji mkuu anatembezwa majiani kila uchao wanapoapishwa watu atakuwa huru Yule
Hivi Kenya inawezekana kweli jaji mkuu kuacha kazi na kubaki kuhudhuria sherehe za uapishwaji na kutoa hotuba za kupongezana?
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Andaa ushahidi upeleke ili kesi ifutwe,Lazima iingiliwe kwenye kesi za kubambikiza.
Mbowe aliwaeleza vipi ikiwa yeye pia yumo ndani? Na kama aliwatelekeza mbona hawajamlipua ili aisome namba?YAANI NDIVYO MBOWE ALIVYOWAAMBIA WAKASEME MAHAKAMANI ILI WAMNUSURU? HIYO IMETOKA MBOWE ALIWATELEKEZA WALIPOKAMATWA WALINZI WAKAAMBUA KUJILIPUA KUSEMA UKWELI ILI WAWE HURU MBOWE HANA UJANJA HAPO
Hoja hapa ni polisi , mahakama haikutajwaLakini nyie husema mahakama isiingiliwe
Acha kukurupuka bintiHoja hapa ni polisi , mahakama haikutajwa
Muhimili huru kwenye makaratasiMahakama ni muhimiri huru.
Aliyeleta uzi awezaje kukurupukaAcha kukurupuka binti
Kipindi unawaondolea kesi kina mdude haikua huru kwenye karatasi!Muhimili huru kwenye makaratasi
Mama nakuomba vaa ujasiri na uingilie kati. Najua unawaogopa waliokuzunguka. Katiba, vifungu vya Kurani na Sheria vinakulinda. Chochote utamkacho ni sheria. Muachie Freeman Mbowe sasa hivi.
mkuu ndiyo wameeleza ukweli ugaidiMbowe aliwaeleza vipi ikiwa yeye pia yumo ndani? Na kama aliwatelekeza mbona hawajamlipua ili aisome namba?