Toa mifano kama mtu mwerevu. Hili siyo jukwaa la vioja. Inaonekana mawazo yako mwisho wake ni kwenye chakula tu.Kwa hi
Kwa ujinga wako unadhani kukataa maelezo uliyoandika police kunaweza kukunasua kwenye kukutwa na makosa?
Hiyo huwa ni namna ya kurukaruka tu kama maharage kwenye sufulia lakini lazima yaive.
Always think and argue intelligently.
Hoja ya msingi hapo ni kuwa maelezo yaliyotolewa kwenye mazingira ya kulazimishwa, hayana uzito wowote katika ushahidi.
Polisi wangekuwa na akili japo kidogo, walistahili kuhakikisha maelezo ya hao mashahidi yanatolewa mbele ya mlinzi wa amani na wakili wao.