14 May 2021
Kilimanjaro, Tanzania
DC ole Sabaya alivyomkata Jicho Kali RC wa Kilimanjaro
DC SABAYA alivyomkata Jicho Kali RC wa Kilimanjaro Bi. Anna Mghwira baada ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kumkemea na kumwambia aache Tabia Hii
2 Agosti 2021
"MBOWE SIO MALAIKA, USHAHIDI TUNAO, ASEME UKWELI WAKE SI ANASALI" IGP SIRRO
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro leo Agosti 2, 2021 amezungumza na waandishi wa habari na miongoni aliyoyazungumza ni kuhusu suala la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (CHADEMA) Taifa.
Source : Millard Ayo
07 October 2020
Hai, Kilimanjaro
Tanzania
OCD wilaya ya Hai, Kilimanjaro kamanda Mpina aahidi kutumia jeshi la Polisi ili Freeman Mbowe asitangazwe
23 August 2021
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu
Kisutu,
Dar es Salaam, Tanzania
MAELEZO YA MASHAHIDI UPANDE WA SERIKALI (a.k.a JAMHURI) : MBOWE ADAIWA KUTAFUTA MAKOMANDOO WA JWTZ KUMDHURU SABAYA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliomba kutafutiwa Makomandoo Wanajeshi waliofukuzwa kazi au Wastaafu, ili awatumie katika kuwadhuru Viongozi wa Serikali akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Lengai Ole Sabaya.
Source : Millard Ayo
hivi mtu duni kama Sabaya ndio wa kumtafutia makomandoo ?
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Hii kesi itaiumbua CCM na serikali yake kwa kushindwa kuwa chama cha siasa na kuamua kuwa chama dola kandamizi kinachotumia vyombo vya ulinzi na usalama kupunguza eneo la uwepo wa demokrasia nchini Tanzania wakati takwa hilo lipo kikatiba lakini CCM imeamua kukaba, kubana na kufifisha uwepo wa demokrasia na hivyo raia kukosa Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.
Washitakiwa hao wamedai kwamba ili kujinusuru na mateso makubwa ya kinyama na ya kudhalilisha walipokuwa mikononi mwa Polisi , walilazimika kuandika MAELEZO YA UONGO WALIYOYATAKA POLISI ili kuokoa uhai wao[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Watuhumiwa hao watatu walioshitakiwa pamoja na Mbowe Wameiomba Mahakama kutoyatambua maelezo waliyoyaandika Polisi kwa vile waliyaandika kwa shinikizo la vipigo na mateso, hayakuwa maelezo ya kweli , bali waliyaandika ili wasiuawe kwa mateso .
Ombi hilo limetolewa Mahakamani na washitakiwa hao watatu , waliodai kwamba walilazimishwa kuandika maelezo ya uongo kibabe na kwa mateso makubwa mno , Polisi walitesa watuhumiwa hao kinyama ili kulazimisha kwamba walitumwa na Mbowe kufanya ugaidi kwa lengo la kuhalalisha Tuhuma dhidi ya Freeman Mbowe zilizopangwa kishamba ili kuwafurahisha watawala
Washitakiwa hao wamedai kwamba ili kujinusuru na mateso makubwa ya kinyama na ya kudhalilisha walipokuwa mikononi mwa Polisi , walilazimika kuandika MAELEZO YA UONGO WALIYOYATAKA POLISI ili kuokoa uhai wao
Mungu akikupa macho ya kuona mshukuru.YAANI NDIVYO MBOWE ALIVYOWAAMBIA WAKASEME MAHAKAMANI ILI WAMNUSURU? HIYO IMETOKA MBOWE ALIWATELEKEZA WALIPOKAMATWA WALINZI WAKAAMBUA KUJILIPUA KUSEMA UKWELI ILI WAWE HURU MBOWE HANA UJANJA HAPO
Wew ulikuwepo , kwa nini aibu hii usiione wewWatuhumiwa hao watatu walioshitakiwa pamoja na Mbowe Wameiomba Mahakama kutoyatambua maelezo waliyoyaandika Polisi kwa vile waliyaandika kwa shinikizo la vipigo na mateso, hayakuwa maelezo ya kweli , bali waliyaandika ili wasiuawe kwa mateso .
Ombi hilo limetolewa Mahakamani na washitakiwa hao watatu , waliodai kwamba walilazimishwa kuandika maelezo ya uongo kibabe na kwa mateso makubwa mno , Polisi walitesa watuhumiwa hao kinyama ili kulazimisha kwamba walitumwa na Mbowe kufanya ugaidi kwa lengo la kuhalalisha Tuhuma dhidi ya Freeman Mbowe zilizopangwa kishamba ili kuwafurahisha watawala
Washitakiwa hao wamedai kwamba ili kujinusuru na mateso makubwa ya kinyama na ya kudhalilisha walipokuwa mikononi mwa Polisi , walilazimika kuandika MAELEZO YA UONGO WALIYOYATAKA POLISI ili kuokoa uhai wao
Kisheria, shahidi au mtuhumiwa anaruhusiwa kutakataa maelezo aliyoyaandika Polisi kama kulikuwa na mazingira ya kulazimishwa kama vile kuteswa au kutishiwa kifo.Hii imekaaje kisheria?
Usijifanye mjuaji kwenye mambo ambayo una ujinga wote. Wawe na majeraha wasiwe nayo, wanaruhusiwa kuyakataa maelezo waliyoyatoa Polisi alimradi kama huko Polisi kulikuwa na mazingira ya kuwalazimisha kama vile mateso, vitisho, au masumbufu kama yale ya kuwaweka kwenye sero za Polisi kwa muda usiojulikana.Hao watuhumiwa walionekana na majeraha au viashiria vya mateso?
Kama hawana ni sawa na mbwmbwe za kawaida za watuhumiwa.
It is designed that way internationallyHakuna taasisi ya Serikali inayoongozwa na watu wenye akili ndogo kama Polsi.
Kwa ujinga wako unadhani kukataa maelezo uliyoandika police kunaweza kukunasua kwenye kukutwa na makosa?Usijifanye mjuaji kwenye mambo ambayo una ujinga wote. Wawe na majeraha wasiwe nayo, wanaruhusiwa kuyakataa maelezo waliyoyatoa Polisi alimradi kama huko Polisi kulikuwa na mazingira ya kuwalazimisha kama vile mateso, vitisho, au masumbufu kama yale ya kuwaweka kwenye sero za Polisi kwa muda usiojulikana.