Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
Tukisema huyu dogo anapotezwa na washauri wake, hasikii. Kaenda clouds kuongea shits kumbe kuna watu wamempanga namna ya kuongea.

Kuna kundi la watu liko nyuma yake linampoteza bila yeye kujua?

Hivi huyu hana management?

Elimu Elimu Elimu, mzee Lowassa apewe maua yake.

Sasa hao si wanasheria wake kwani tatizo liko wapi?

Hao ni mawakili na watu wake wa karibu wao ndio wamesomea hayo maswala ya kuwapanga watu sioni shida kwenye hili

Tatizo ni yeye kupangwa namna jinsi ya kuongea au tatizo ni hayo maneno aliyopangwa kuongea sio ya kweli?

Kama maneno aliyosema ni ya kweli ishu ya kupangwa haiwezi kuwa hoja ya msingi

Kama ni kweli Hersi aliwahi kuomba radhi kwa kumkosea Feisalii na ushahidi upo basi sioni haja ya kujificha kwenye "kupangwa"

Kama ni kweli GSM alikuwa hapokei simu za Feisali na ushahidi upo basi sioni tatizo kwenye "kupangwa"
 
Kioanya ni mwanasheria wake?
 
Baada ya Fei kusema yupo tayari kuchangiwa Yanga ipate maslahi yake na Hersi ndo hataki na analazimisha kurudi kambini Hapa hoja ni moja tu. Kwanini umng'ang'anie Fei? Kwani Yanga si inafanya vizuri? Kwanini usimpige faini kwa kiwango ambacho ungemuuza?
 
Ht sauti wametengeneza hizi ntakua wa mwisho kuwaamini Yanga
 
Back
Top Bottom