Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

Baada ya Fei kusema yupo tayari kuchangiwa Yanga ipate maslahi yake na Hersi ndo hataki na analazimisha kurudi kambini Hapa hoja ni moja tu. Kwanini umng'ang'anie Fei? Kwani Yanga si inafanya vizuri? Kwanini usimpige faini kwa kiwango ambacho ungemuuza?
Ndo hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada ya Fei kusema yupo tayari kuchangiwa Yanga ipate maslahi yake na Hersi ndo hataki na analazimisha kurudi kambini Hapa hoja ni moja tu. Kwanini umng'ang'anie Fei? Kwani Yanga si inafanya vizuri? Kwanini usimpige faini kwa kiwango ambacho ungemuuza?
Dunduka bhana! Wakati huyo Mwehu kadai Hersi alimwambia aende CAS? Endeleeni kumchangia ili aende huko CAS manake Wajinga Ndo Waliwao! Angekuwa na akili angeenda Klabuni kukutana na uongozi wa klabu na sio kwenda kukutana na Hersi hotelini wakati anadai Hersi ndo sumu pale klabuni!
 
Sasa hao si wanasheria wake kwani tatizo liko wapi?

Hao ni mawakili na watu wake wa karibu wao ndio wamesomea hayo maswala ya kuwapanga watu sioni shida kwenye hili

Tatizo ni yeye kupangwa namna jinsi ya kuongea au tatizo ni hayo maneno aliyopangwa kuongea sio ya kweli?

Kama maneno aliyosema ni ya kweli ishu ya kupangwa haiwezi kuwa hoja ya msingi

Kama ni kweli Hersi aliwahi kuomba radhi kwa kumkosea Feisalii na ushahidi upo basi sioni haja ya kujificha kwenye "kupangwa"

Kama ni kweli GSM alikuwa hapokei simu za Feisali na ushahidi upo basi sioni tatizo kwenye "kupangwa"
Kuna muda ushabiki hutufanya tuonekane WAJINGA
 
Bongo bila kuwa mnafiki hutoboi ndo maana nchi zilizotuzunguka Huwa hawatuamini.
Kwanza hizo sauti ni za kutengenezaa tyuuh. Wala sio halisia, kikubwa GSM na hersi watoke hadharani kukanushaaa, vinginevyo Fei yuko sahihi.
 
Dunduka bhana! Wakati huyo Mwehu kadai Hersi alimwambia aende CAS? Endeleeni kumchangia ili aende huko CAS manake Wajinga Ndo Waliwao! Angekuwa na akili angeenda Klabuni kukutana na uongozi wa klabu na sio kwenda kukutana na Hersi hotelini wakati anadai Hersi ndo sumu pale klabuni!
Fei amekwambia wamekaa na Hersi masaa sita ila Hersi anachotaka waende kambini. Pesa yoyote kutoka kwa Fei kakataa, anasema Club ije, Fei anasema hana club inayomtaka. Ni nn hiki? Mambo ya ajabu sana haya.
 
Kwanza hizo sauti ni za kutengenezaa tyuuh. Wala sio halisia, kikubwa GSM na hersi watoke hadharani kukanushaaa, vinginevyo Fei yuko sahihi.
Huna moral authority ya kuzungumzia hili maana wewe simba kindakindaki au siyo injinia
 
Tukisema huyu dogi anapotezwa na washauri wake, hasikii,
Kaenda clouds kuongea shits kumbe kuna watu wamempanga namna ya kuongea,
Kuna kundila watu liko nyuma yake linampoteza bila yeye kujua?

Hivi huyu hana management?

Elimu Elimu Elimu, mzee lowasa apewe maua yake

Duh, kweli hii nchi imejaa viazi! Kwani hapo kuna kipi kibaya? Naona hadi watu na akili zao wana post kama vile ni kitu exclusive wakati tuliofatilia tunajua kilichotokea na hata mazungumzo yenyewe hakuna la ajabu.

Hebu yeyote achague neno lolote baya aweke hapa.
 
Feisal ni mdogo sana, hakina GSM hawawezi kubishana na kichaa.
Sasa kichaa wanambania wa nn? Si wamuachee aondokeee au huko salamander tower ni kituo cha kuwalea vichaaa??

Umevurugwa wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom