Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

Feisal akifunguka zaidi,kuna hatari ya mtu kudharirika pakubwa sana.Tuliomsikiliza Feisal tumemwelewa na ndiyo maana 'rais' hataki kumwachia
Ajabu sana. Waandishi wanatakiwa kumuuliza Hersi swali moja.

Fei kutakiwa kubaki Yanga ni suala la maslahi kwa Yanga kwa uwekezaji mlioufanya kwake au kuna jambo tofauti? Kama ni maslahi kwanini msimlipishe kiasi cha fedha kinachohitajika kutimiza maslahi mnayoyahitaji? Jibu la swali hili litaonyesha tatizo katika uwazi wake.
 
Fei ameeleza vizuri kabisaaa, Hersi atoke kujibu sasa
 
Wanaoitetea yanga katika hili ni mashabiki tu au mna maslahi binafsi na yanga?

Katika mitazamo yote mi naona Huyo bwana mdogo apewe haki yake, kama ni kuvunja mkataba avunje, kama ana pakwenda aende na kama hana still aruhusiwe kuvunja mkataba apigwe faini aondoke. Kwani vifungu gani vya sheria ambavyo vimeshindikana kutafsiriwa? Huo mkataba ni gereza?

Kwanza mchezo wa soka hauko fair kwa wachezaji, kwa Tanzania ndio kabisaaa, hauko fair kwa wachezaji na hauko fair zaidi kwa wachezaji wazawa, kuna mtu mmoja humu aliandika siku moja kuwa mchezo wa soka ni mchezo wa kikatili sana, nilimuelewa sana, tena kwa Tz ni wakikatili mara elfu moja. Mnataka huyo dogo apotee ili ninyi mfaidike na nini?

Hawa wachezaji wanaishi maisha ya kubangaiza, majina makubwa lakini mfukoni sifuri, akina kichuya na majina yao wameishi tabata chumba kimoja hawana hata mwelekeo wa maisha, muacheni mtoto wa watu akatafute maslahi zaidi.
 
Clouds fm ni kituo cha redio kilichojijengea umaarufu kwa muda mrefu tangu enzi za marehemu Ruge. Lakini kwasiku za hivi karibuni heshima ya clouds imeshuka Sana.

Mfano mzuri ni hiyo clip iliyovuja Masoud kipanya akimkaririsha Feisal MANENO ya kuongea alaf yeye mwenyewe ndo akaenda kumfanyia mahojiano!

Hii inatia kichefuchefu na inaichafua brand kubwa Kama clouds fm. Nashauri mmiliki wa kituo hicho amfute kazi mara moja kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
 
Sasa hao si wanasheria wake kwani tatizo liko wapi?

Hao ni mawakili na watu wake wa karibu wao ndio wamesomea hayo maswala ya kuwapanga watu sioni shida kwenye hili

Tatizo ni yeye kupangwa namna jinsi ya kuongea au tatizo ni hayo maneno aliyopangwa kuongea sio ya kweli?

Kama maneno aliyosema ni ya kweli ishu ya kupangwa haiwezi kuwa hoja ya msingi

Kama ni kweli Hersi aliwahi kuomba radhi kwa kumkosea Feisalii na ushahidi upo basi sioni haja ya kujificha kwenye "kupangwa"

Kama ni kweli GSM alikuwa hapokei simu za Feisali na ushahidi upo basi sioni tatizo kwenye "kupangwa"

Elimu ELimu Elimu ,Client ndiyo anampa taarifa mwanasheria kisha Mwanasheria ndiyo anatafuta chaka jinsi ya kumtoa ,sasa inakuwaje ampange kwenye ugali na sukari? Inakuwaje ampange kwenye mil100 cash wakata Eng alishasema wazi wazi? Inakuwaje adanganye mkataba wa miaka mitatu alikuwa hajui?
 
Sasa hao si wanasheria wake kwani tatizo liko wapi?

Hao ni mawakili na watu wake wa karibu wao ndio wamesomea hayo maswala ya kuwapanga watu sioni shida kwenye hili

Tatizo ni yeye kupangwa namna jinsi ya kuongea au tatizo ni hayo maneno aliyopangwa kuongea sio ya kweli?

Kama maneno aliyosema ni ya kweli ishu ya kupangwa haiwezi kuwa hoja ya msingi

Kama ni kweli Hersi aliwahi kuomba radhi kwa kumkosea Feisalii na ushahidi upo basi sioni haja ya kujificha kwenye "kupangwa"

Kama ni kweli GSM alikuwa hapokei simu za Feisali na ushahidi upo basi sioni tatizo kwenye "kupangwa"
Unajitoa ufahamu
 
Wanaoitetea yanga katika hili ni mashabiki tu au mna maslahi binafsi na yanga?

Katika mitazamo yote mi naona Huyo bwana mdogo apewe haki yake, kama ni kuvunja mkataba avunje, kama ana pakwenda aende na kama hana still aruhusiwe kuvunja mkataba apigwe faini aondoke. Kwani vifungu gani vya sheria ambavyo vimeshindikana kutafsiriwa? Huo mkataba ni gereza?

Kwanza mchezo wa soka hauko fair kwa wachezaji, kwa Tanzania ndio kabisaaa, hauko fair kwa wachezaji na hauko fair zaidi kwa wachezaji wazawa, kuna mtu mmoja humu aliandika siku moja kuwa mchezo wa soka ni mchezo wa kikatili sana, nilimuelewa sana, tena kwa Tz ni wakikatili mara elfu moja. Mnataka huyo dogo apotee ili ninyi mfaidike na nini?

Hawa wachezaji wanaishi maisha ya kubangaiza, majina makubwa lakini mfukoni sifuri, akina kichuya na majina yao wameishi tabata chumba kimoja hawana hata mwelekeo wa maisha, muacheni mtoto wa watu akatafute maslahi zaidi.
Pale utopoloni kuna wanyonyaji sana tena bosi wao anawaza faida tu bila kutoa chochote
 
Sasa unavunjaje mkataba bila kukutana na mwajiri? Sasa saini ataweka instagram au facebook? Aende wakaongee na yanga wavunje mkataba! Ana chuki na Eng kwasababu Eng amesajili wachezaji hatari kuliko yeye kwahiyo anamchukia hersi kwasababu ameleta wapinzani wa kumfunika.
 
Fei mpaka apate haki yake

Hawezi kumpigia sim boss wa Tim GSM - mwaka 2022 asipokee aje kumpigia 2023 hii ni dharau tena dharau mbaya sanaa

Na haiwezekani yeye atake mkataba wa miaka miwili nyinyi mumuongezee mwaka mmoja iwe miaka mitatu

Hakuna atakayekubali huo ujinga

Bega kwa bega mpaka fei apate haki zake
 
Back
Top Bottom