Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Ndoto zingime bwana [emoji3][emoji3][emoji3]USM Algiers 0 - 4 Young Africans SC
Aggregate: USM Algiers 2 - 5 Young Africans SC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto zingime bwana [emoji3][emoji3][emoji3]USM Algiers 0 - 4 Young Africans SC
Aggregate: USM Algiers 2 - 5 Young Africans SC
Ajabu sana. Waandishi wanatakiwa kumuuliza Hersi swali moja.Feisal akifunguka zaidi,kuna hatari ya mtu kudharirika pakubwa sana.Tuliomsikiliza Feisal tumemwelewa na ndiyo maana 'rais' hataki kumwachia
Fei ameeleza vizuri kabisaaa, Hersi atoke kujibu sasaAjabu sana. Waandishi wanatakiwa kumuuliza Hersi swali moja.
Fei kutakiwa kubaki Yanga ni suala la maslahi kwa Yanga kwa uwekezaji mlioufanya kwake au kuna jambo tofauti? Kama ni maslahi kwanini msimlipishe kiasi cha fedha kinachohitajika kutimiza maslahi mnayoyahitaji? Jibu la swali hili litaonyesha tatizo katika uwazi wake.
📌📌USM Algiers 0 - 4 Young Africans SC
Aggregate: USM Algiers 2 - 5 Young Africans SC
KabisaFei ameeleza vizuri kabisaaa, Hersi atoke kujibu sasa
Hapo sasaKabisa
Sasa hao si wanasheria wake kwani tatizo liko wapi?
Hao ni mawakili na watu wake wa karibu wao ndio wamesomea hayo maswala ya kuwapanga watu sioni shida kwenye hili
Tatizo ni yeye kupangwa namna jinsi ya kuongea au tatizo ni hayo maneno aliyopangwa kuongea sio ya kweli?
Kama maneno aliyosema ni ya kweli ishu ya kupangwa haiwezi kuwa hoja ya msingi
Kama ni kweli Hersi aliwahi kuomba radhi kwa kumkosea Feisalii na ushahidi upo basi sioni haja ya kujificha kwenye "kupangwa"
Kama ni kweli GSM alikuwa hapokei simu za Feisali na ushahidi upo basi sioni tatizo kwenye "kupangwa"
Unajitoa ufahamuSasa hao si wanasheria wake kwani tatizo liko wapi?
Hao ni mawakili na watu wake wa karibu wao ndio wamesomea hayo maswala ya kuwapanga watu sioni shida kwenye hili
Tatizo ni yeye kupangwa namna jinsi ya kuongea au tatizo ni hayo maneno aliyopangwa kuongea sio ya kweli?
Kama maneno aliyosema ni ya kweli ishu ya kupangwa haiwezi kuwa hoja ya msingi
Kama ni kweli Hersi aliwahi kuomba radhi kwa kumkosea Feisalii na ushahidi upo basi sioni haja ya kujificha kwenye "kupangwa"
Kama ni kweli GSM alikuwa hapokei simu za Feisali na ushahidi upo basi sioni tatizo kwenye "kupangwa"
Unashindana na kichaa?Sasa GSM na Hersi si watoke hadharani kukanusha tuhuma hizo. Kwani shida nn??
Pale utopoloni kuna wanyonyaji sana tena bosi wao anawaza faida tu bila kutoa chochoteWanaoitetea yanga katika hili ni mashabiki tu au mna maslahi binafsi na yanga?
Katika mitazamo yote mi naona Huyo bwana mdogo apewe haki yake, kama ni kuvunja mkataba avunje, kama ana pakwenda aende na kama hana still aruhusiwe kuvunja mkataba apigwe faini aondoke. Kwani vifungu gani vya sheria ambavyo vimeshindikana kutafsiriwa? Huo mkataba ni gereza?
Kwanza mchezo wa soka hauko fair kwa wachezaji, kwa Tanzania ndio kabisaaa, hauko fair kwa wachezaji na hauko fair zaidi kwa wachezaji wazawa, kuna mtu mmoja humu aliandika siku moja kuwa mchezo wa soka ni mchezo wa kikatili sana, nilimuelewa sana, tena kwa Tz ni wakikatili mara elfu moja. Mnataka huyo dogo apotee ili ninyi mfaidike na nini?
Hawa wachezaji wanaishi maisha ya kubangaiza, majina makubwa lakini mfukoni sifuri, akina kichuya na majina yao wameishi tabata chumba kimoja hawana hata mwelekeo wa maisha, muacheni mtoto wa watu akatafute maslahi zaidi.
Wanaoitetea yanga katika hili ni mashabiki tu au mna maslahi binafsi na yanga?