Heshima ya Clouds FM imeshuka kwani ilikuwa juu lini?Clouds fm ni kituo cha redio kilichojijengea umaarufu kwa muda mrefu tangu enzi za marehemu Ruge. Lakini kwasiku za hivi karibuni heshima ya clouds imeshuka Sana.
Mfano mzuri ni hiyo clip iliyovuja Masoud kipanya akimkaririsha Feisal MANENO ya kuongea alaf yeye mwenyewe ndo akaenda kumfanyia mahojiano!
Hii inatia kichefuchefu na inaichafua brand kubwa Kama clouds fm. Nashauri mmiliki wa kituo hicho amfute kazi mara moja kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
AmeyakanyagaClouds fm ni kituo cha redio kilichojijengea umaarufu kwa muda mrefu tangu enzi za marehemu Ruge. Lakini kwasiku za hivi karibuni heshima ya clouds imeshuka Sana.
Mfano mzuri ni hiyo clip iliyovuja Masoud kipanya akimkaririsha Feisal MANENO ya kuongea alaf yeye mwenyewe ndo akaenda kumfanyia mahojiano!
Hii inatia kichefuchefu na inaichafua brand kubwa Kama clouds fm. Nashauri mmiliki wa kituo hicho amfute kazi mara moja kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Kukataa m30 si rahisiLipo kubwa nyuma ya pazia sidhani fei ana utoto WA kukataa kurudi Yanga Tena Kwa intavyuu ya Leo nasema Lipo kubwa tuuu
Ht iweje fei asingetaa vile abadani asilani
Mimi sio kama Mange nitake radhiHakuna shida Mazee,au Mange siyo binadamu kama wewe?
Kweli wee ni kibwengo!! Vitu vilikuwa live kabisa,kama hujaona kitu au hukijui vizuri acha kuchangia madaUto hizo sauti za kutengeneza
SawasawaKwenye mambo ya media hilo ni jambo la kawaida,ni lazima wakuflame ili usitoke nje ya mada na kuballance muda.Zaidi ya hapo labda watangazaji wajiridhishe kwamba una uzoefu wa mahojiano.
👍👍KUNA MAANDALIZI YA KUSEMA KITU SAHIHI KWENYE MADA HUSIKA.
NA KUNA MAANDALIZI YA KULISHWA MANENO YA URONGO ILI KUMCHAFUA MTU FULANI.
THINK BIG PALS[emoji848]
Hamna mpya hapo..Aiseee bonge la aibu . Huyo mtoto na clouds wote wamejivua nguo hadharani .
Yaani hakuna mtangazaji ana upeo mkubwa na mwenye kutizama angle zote kama kp acheni kukurupuka unamuongelea mtu na humjuimasoud anachojua ni kuchora katuni tu, kutangaza hajui, wala kitu kingine chochote.jitu kubwaaa lakini akili kisoda.
Achana na hiyo kitu....dakika 0 ni nyingi sauti hizo kutambulika.Mna uhakika mwenye hiyo sauti ni Yeye Masoud Kipanya (KP).
Kwa credibility yake KP sidhani kama atafanya hivyo.