Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Heshima ya Clouds FM imeshuka kwani ilikuwa juu lini?Clouds fm ni kituo cha redio kilichojijengea umaarufu kwa muda mrefu tangu enzi za marehemu Ruge. Lakini kwasiku za hivi karibuni heshima ya clouds imeshuka Sana.
Mfano mzuri ni hiyo clip iliyovuja Masoud kipanya akimkaririsha Feisal MANENO ya kuongea alaf yeye mwenyewe ndo akaenda kumfanyia mahojiano!
Hii inatia kichefuchefu na inaichafua brand kubwa Kama clouds fm. Nashauri mmiliki wa kituo hicho amfute kazi mara moja kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.