Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

Clouds fm ni kituo cha redio kilichojijengea umaarufu kwa muda mrefu tangu enzi za marehemu Ruge. Lakini kwasiku za hivi karibuni heshima ya clouds imeshuka Sana.

Mfano mzuri ni hiyo clip iliyovuja Masoud kipanya akimkaririsha Feisal MANENO ya kuongea alaf yeye mwenyewe ndo akaenda kumfanyia mahojiano!

Hii inatia kichefuchefu na inaichafua brand kubwa Kama clouds fm. Nashauri mmiliki wa kituo hicho amfute kazi mara moja kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Heshima ya Clouds FM imeshuka kwani ilikuwa juu lini?
 
Clouds fm ni kituo cha redio kilichojijengea umaarufu kwa muda mrefu tangu enzi za marehemu Ruge. Lakini kwasiku za hivi karibuni heshima ya clouds imeshuka Sana.

Mfano mzuri ni hiyo clip iliyovuja Masoud kipanya akimkaririsha Feisal MANENO ya kuongea alaf yeye mwenyewe ndo akaenda kumfanyia mahojiano!

Hii inatia kichefuchefu na inaichafua brand kubwa Kama clouds fm. Nashauri mmiliki wa kituo hicho amfute kazi mara moja kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Ameyakanyaga
 
Kuna watu wengi hawajui kujieleza Mimi mwenyewe mmojawapo Sasa hata mwandishi kukufunza jinsi ya kujielezea ni swala la kawaida kabla ya mahojiano ili kubalance story vizuri ni mmoja kati ya njia za kuondoa sintofahamu kwenye habari husika.
 
Hayo ni maandalizi kabla ya kipindi vipindi vyote huwa Kuna mazungumzo ili kuzuia maneno yanayoweza kuleta taharuki lakin pia bila kupindisha ujumbe kwahiyo jamaa walikua wanamuandaa mtu kabla ya kuhojiwa
huyo mchezaji alishalalamika kula ugali na sukari kabla hata hajahojiwa na kina masoud , tatizo mmechagua kusikiliza watu wenye chuki na unafki kama wasemaji wa mwisho na waamue nini kiwe kwenye vichwa vyenu
 
Lipo kubwa nyuma ya pazia sidhani fei ana utoto WA kukataa kurudi Yanga Tena Kwa intavyuu ya Leo nasema Lipo kubwa tuuu
Ht iweje fei asingetaa vile abadani asilani
Kukataa m30 si rahisi
 
KUNA MAANDALIZI YA KUSEMA KITU SAHIHI KWENYE MADA HUSIKA.

NA KUNA MAANDALIZI YA KULISHWA MANENO YA URONGO ILI KUMCHAFUA MTU FULANI.

THINK BIG PALS[emoji848]
 
Kwenye mambo ya media hilo ni jambo la kawaida,ni lazima wakuflame ili usitoke nje ya mada na kuballance muda.Zaidi ya hapo labda watangazaji wajiridhishe kwamba una uzoefu wa mahojiano.
 
Kwenye mambo ya media hilo ni jambo la kawaida,ni lazima wakuflame ili usitoke nje ya mada na kuballance muda.Zaidi ya hapo labda watangazaji wajiridhishe kwamba una uzoefu wa mahojiano.
Sawasawa
 
masoud anachojua ni kuchora katuni tu, kutangaza hajui, wala kitu kingine chochote.jitu kubwaaa lakini akili kisoda.
Yaani hakuna mtangazaji ana upeo mkubwa na mwenye kutizama angle zote kama kp acheni kukurupuka unamuongelea mtu na humjui
 
Back
Top Bottom