Aibu ya pombe

Pombe mbaya ni za kununulia kila mtu bar ila ukiwa alone haileti umaskini
Sisi wengine sijui tuna nyota gani,nikishakaa kidogo tu hata iwe bar ya ugenini kabisa unakuta nimeshajuana na watu wengi balaa.

Afu mtungi wa peke yangu si-enjoy,masuala ya kufika bar na kukaa alone na smartphone yalishashanishinda kabisaa.Nikishakaa hua simu naweka mfukoni au naweka airplane mode kazi inakua ni mtungi na story,yaani inshort napenda nikiwa nakunywa niwe off-mitandao maana nashinda na internet most of the time.

Uzuri ni kwamba naweza ku-controll unywaji wangu,naweza kaa miezi sijagusa pombe especially ninapokua bize.
 
Agiza hata kwa Mama Muuza ushtue.. Pita kwa uliowakosea omba msamaha...


Kumbuka ulimuita Baba mkwe wako wifi sasa hili utajua kulinywa mchuzi, Na mwanae ndio anae lisha hapo mjengoni.
 
Tatizo Lililokukuta Limenikuta Pia Mimi Jumatutu,Nilikunywa Kwa Starehe Mapema Tu Nkarejea Home,Ila Home Wife Hayupo So Nkaona Nipo Bored,Nkatoka Nkakutana na Washkaji,Nikabwia-nikabwia Nikaamua Kurudi Home Mapema Tu,Kimbembe Kikaanzia Hapa,Ili Nifike Magetoni Kuna Ngazi Za Kupanda,Ndugu Yako Ngazi Nkawa Nazipanda Nakushuka,Yani Nkikaribia Ya Mwisho Nateleza Naanza Upya,Na Ni Hatua 5 Tu Nabakiza Kufikia Mlango Wangu,Basi Nkapanda Shuka Nkaona Isiwe Tabu,Nkauchapa Happy Happy,Sasa Kumbe Yupo Mtu Alikuwa Ananisoma na Ni Wa Hapa Hapa Nyumbani ya Pili Toka Kwangu,Akampigia Simu Mzee Mwenye Nyumba,Me Nimepanga Gorofani Ye Anaishi Kwa Chini Ndo Mzee Kuja Kunipa Msaada.
Nakuja Kushtuka Ni Asubuhi,Nimechafuka Sina Hali.

Nini Nimeamua Kufanya,Nimeamua Kumkabidhi Yesu Maisha Yangu Na Nizaliwe Upya.
Kudhalilika Huku Imetosha.

Hivyo Nikushauri Nawewe Mwenzangu,Pia Tuwe Na Mawasiliano Kuulizana Tulipofikia.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yani ulivyouliza ili swali nilijua hugusi kabisa
 
Yaan mie nimeshika serenget hapa sahiz nawachek tu heeheee pombe haiachiki kirahis wewe kuwa mpole tu .
 
Yaan mie nimeshika serenget hapa sahiz nawachek tu heeheee pombe haiachiki kirahis wewe kuwa mpole tu .
Nikipiga Hesabu Gharama Ninazozitumia Kwa Ajili ya Pombe Tu,Tena Sehemu Nyingine Hadi Sasa Nna Madeni Kisa Pombe,Naona Kama Ni Laana Kwangu + Inavyodhalilisha,Why Not Nisichukue Maamuzi Tu? Pombe Ni Chanzo Cha Dhambi,Nasema Hilo Maana Nna Ushuhuda Nalo Hata Wewe Wajua.

Namuomba Mungu Nisiikose Mbingu Kwa Hili na Mengine,Nimeamua Kujisalimisha Maisha Yangu Kwa Yesu,Naamini Atanipigania.
 
Utaacha baada ya muda utarudi kwa speed ya ajabu

Chamsingi inatakiwa ukiiona pombe ona Kama sumu,achana na marafiki walevi nenda na makanisa ya walokole!

Ila kuacha sio kazi rahisi
 
Utaacha baada ya muda utarudi kwa speed ya ajabu

Chamsingi inatakiwa ukiiona pombe ona Kama sumu,achana na marafiki walevi nenda na makanisa ya walokole!

Ila kuacha sio kazi rahisi
Namuomba Mungu Nisirudi Tena Misri.
Naamini Yeye Ndiye Msaada Wangu Wa Mwisho.
Ushauri Wako Hadi Muda Hu Ndio Nnaouishi.

Asante na Barikiwa!!
 
Mungu atasaidie,imeniuma mno kitendo cha kurudi nyuma maana nilishaiacha kabisa.Nna stress kinoma kila nnayemuona nahisi ananiwazia mimi
 
Mungu atasaidie,imeniuma mno kitendo cha kurudi nyuma maana nilishaiacha kabisa.Nna stress kinoma kila nnayemuona nahisi ananiwazia mimi
Tunapoangukia Ndipo Tunapoamkia,Tujipanguse Tufute Vumbi,Na Kamwe Tusigeuze Shingo.

Maandiko Yanasema "Aonywae Mara Nyingi Akishupaza Shingo Itavunjika Ghafla na Wala Hatapata Dawa"
Ndugu Tusisubiri Mda Wa Kukosa Dawa Ufike Maana Itakuwa Ni Kilio Na Kusaga Meno.
Chukulia Hao Marafiki Wangekuwa na Silaha na Wote Mmelewa na Ugomvi Huo,Ungetoka Salama? Vitu Vingine Vinatokea Kama Somo Tujifunze/Ujifunze.
Mimi Baada ya Kutafakari Toka Juzi Nje Sijatoka Zaidi ya Kwenda kwa Mchungaji na Kuombewa Sala ya Toba.(Aibu)
Sasa Nisipoacha Nikwamba Naikaribisha Aibu Nyingine Mpya.
Na Pia Kwani Ina Faida Gani Nikiitumia na Ina Hasara Gani Niiacha?
Nikiangalia Faida Sioni,Hasara Sioni.Sipunguzi Chochote.

Badala Yake Fedha Ntakayoisave Itanisaidia Hata Kusaidia Wazazi Ambao Niliwatelekeza Kwa Muda Huku Mimi Nadanganywa na Pombe. (Simaanishi 100% Niliwaacha,Ila Kuna Wakati Kisa Pombe)
Vilevile Hela Ntakayosave Ntapiga Hatua Kimaisha,Biashara,Makazi (Ujenzi),Kutoa Kwa Jamii nk.

Bila Yesu Mimi Wewe Si Kitu.
#ShtukaMapema2021 Iwe Ushuhuda.
 
Umentia moyo mno,naamini ntashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…