mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Sisi wengine sijui tuna nyota gani,nikishakaa kidogo tu hata iwe bar ya ugenini kabisa unakuta nimeshajuana na watu wengi balaa.Pombe mbaya ni za kununulia kila mtu bar ila ukiwa alone haileti umaskini
Afu mtungi wa peke yangu si-enjoy,masuala ya kufika bar na kukaa alone na smartphone yalishashanishinda kabisaa.Nikishakaa hua simu naweka mfukoni au naweka airplane mode kazi inakua ni mtungi na story,yaani inshort napenda nikiwa nakunywa niwe off-mitandao maana nashinda na internet most of the time.
Uzuri ni kwamba naweza ku-controll unywaji wangu,naweza kaa miezi sijagusa pombe especially ninapokua bize.