Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Umuhimu gani?
- Minara ni muhimu ili kufungua vijijini.
- Ungelia yale magari ya kifahari yanayoagizwa na kuhudumiwa na billions ningekusikia
vijiji hufunguka kwa huduma safi ya barabara, maji, afya na elimu. Hizo minara should be the last. Ni sawa na kumkokea moto mwenye njaa aote moto badala ya kumpa chakula
- Minara ni muhimu ili kufungua vijijini.
- Ungelia yale magari ya kifahari yanayoagizwa na kuhudumiwa na billions ningekusikia
Nchi hii ina watu wajinga sanaWatu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika.
Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
View attachment 2621259
Mkuu hata mawasiliano ni muhimu sana.Watu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika.
Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
View attachment 2621259
Hivi haya mawasiliano si ndo yanafanya mpaka tunapata pesa kwa vijana wetu waliopo mijini?vijiji hufunguka kwa huduma safi ya barabara, maji, afya na elimu. Hizo minara should be the last. Ni sawa na kumkokea moto mwenye njaa aote moto badala ya kumpa chakula
Mkuu hii nchi ukiifuatilia ni pasua kichwa kila mtu na style yake katika kujinufausha kodi zetu,yaani minara inapata priority badala ya majiWatu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika.
Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
View attachment 2621259
Mpumbavu ni mpumbavu tuMinara ya mawasiliano ni muhimu zaidi kuliko yale madege ya awamu ya tano.
Du, mawasiliano si mambo ya muhimu. Sikujua kuwa mawasiliano ni anasa!Watu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika.
Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
View attachment 2621259
Sasa bila hiyo simu yako ungeitumiaje, bozon kabisaWatu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika.
Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
View attachment 2621259
Nadhani kangara uliyotengeneza leo umekunywa mwenyewe pipa zote badala ya kuuzaWatu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika.
Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
View attachment 2621259