Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Kabla ya kushinda si alikuwa kwenye chama hicho hicho.Nani afuate uamuzi wa chama la kutetea ushoga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya kushinda si alikuwa kwenye chama hicho hicho.Nani afuate uamuzi wa chama la kutetea ushoga?
Kwa akili yako ile tunayoifaham, unadhani hakukuwa na mbunge kwenye jimbo lingine aliyeshinda na kumpa ushindi ila huyu dadako ndiye alionekana kushinda bila hila?.Hiyo ndio haki na demokrasia mnazozihubiri kila siku ila sasa mnataka kumnyima Aidah
Chadema hawajawahi kuwa serious na chochote wanachoongea na wala wanachokifanya
Ushindi usiothibitika hatuwezi kuungelea. Wewe unaona kumshinikiza Aidah ajiuzulu ni haki?Kwa akili yako ile tunayoifaham, unadhani hakukuwa na mbunge kwenye jimbo lingine aliyeshinda na kumpa ushindi ila huyu dadako ndiye alionekana kushinda bila hila?.
Chama kiliniamini kikarudisha mamlaka kwa wananchi na wananchi wamenipa mamlaka. Kama niliapa Chadema siwezi isaliti hali kadhalika siwezi wasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini...
Wakimfutia tutampa kadi ya CCM na kuwa mgombea peke na Bungeni lazima aendeWamfutie uanachama fasta asituletee ngonjera wakati huu wa maombolezo
Halima Mdee kashatangaza ataingia bungeni kupitia viti maalum CHADEMA.Exactly afutwe ili Chadema isiwe sehemu ya uozo unaoenda kufanyika bungeni , ambao Ni daylight robbery .
Wewe unafikiri Mbowe angeshinda ubunge asingeenda bungeni ?Thubuuutu.Ni kweli kabisa, yupo sahihi, ila kama chama hakitaki aende Bungeni, ni kumchomolea kadi badala ya kusema tu asiende wakati akiwa mwanachama. Ingawaje sababu za kuchomoa kadi ziwe halali na za msingi!!
Sasaivi anawaza hela tu na maisha yake ao wananchi wa Nkasi ni kimbilio tu na mahali pa kujifichia, kama kweli ni mwanademokrasia angeangalia namna chama chake kilivyoumizwa kwenye uchaguzi feki na angesimama na maamuzi ya chama chake kwa manufaa ya Watanzania walionyimwa kwa makusudi haki zao na sio Nkasi tu.Chama kiliniamini kikarudisha mamlaka kwa wananchi na wananchi wamenipa mamlaka. Kama niliapa Chadema siwezi isaliti hali kadhalika siwezi wasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini...
ACT ilikuwa inawakilishwa na Zitto tu mbona hakususwa tatizo ni umimi kwani yeye akiwa mbunge pekee wa CHADEMA hatoweza kuongea na kupewa hoja na chama chake kupeleka bungeni.Chama kiliniamini kikarudisha mamlaka kwa wananchi na wananchi wamenipa mamlaka. Kama niliapa Chadema siwezi isaliti hali kadhalika siwezi wasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini...
Na huu ndio msimamo wake kama umemsikia vizuri.Anawajibika kuwawakilisha wananchi waliomchagua na kwenda kwake bungeni hakumzuii kuwatetea wenzake ktk upinzani waliodhulumiwa ktk uchaguzi mkuu.
Leo hii I'd imechangia kwenye uzi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania ina vituko kila kona. Ukifa kwa stress ni umejitakia tu.
Huyu afukuzwe Mara moja maana wameshaanza kumtumia maccm , halafu anajidai kuja na hoja za ajabuajabu eti wapiga kura wake wanataka aende bungeni , hivi hao wapiga kura wake Nkasi unafikiri wajinga hawajui kilichofanywa na maccm nchi nzima , kwahiyo we Aidsh Kenan ukienda bungeni peke yako ndio utafanya mageuzi gani? Au hoja zako ndio zitadikilizwa...
👇Ushindi usiothibitika hatuwezi kuungelea. Wewe unaona kumshinikiza Aidah ajiuzulu ni haki?