Baraka21
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 1,262
- 3,184
Tusubiri uteuzi wa Mange Kimambi.
Wonders shall never end
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri uteuzi wa Mange Kimambi.
Kati ya mimi na wewe nani hana muelekeo
JPM ataendelea kukumbukwa kama Rais na mwamba imara, mbeba maono, jasiri, mchapakazi kwa taifa lake na pekee mwenye uthubutu kuwahi kutokea duniani kwa karne hii
Nakukaribisha wewe Baraka21 usiyekua na mbele, nyuma wala katikati utulize ubongo uje tuendeleze kazi alizoacha baba yetu JPM
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan
Kazi iendelee
Wewe ulitaka waje na nini? Wabebe mashamba kwenye mabegi kutoka Israel waje nayo TZ? Ni nini hicho ulitaka waje nacho zaidi ya fedha?wawekezaji wanaokuja na laptop tu! kweli tozonia kila kitu kinawezekana!
View attachment 1956955
Kazi iendelee
Uko vizuri biblicaly,Hakuna mahala nimesema Israel ni wakristo au waislamu. Hayo maandiko yanasema uzao wa ibrahimu sio dini yake
Nikueleweshe tenaaa
Mwanzo 17
16 Nami Sara, na tena nitakupa mwana kwake, naam, nitambariki, naye atakuwa mama wa mataifa, na wafalme wa kabila za watu watatoka kwake.
18 Ibrahimu akamwambia Mungu, Lau kwamba Ishmaeli angeishi mbele yako.
19 Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake.
20 Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.
Hayo mambo yako ya udini yaondoe tuu hapa. Tuko kwenye kuishi kwa imani na baraka za mwenyezi Mungu na sio kwenye ukristo, uislam au uyahudi
Mungu asimame na Tanzania,Mkuu usiogope majasusi.
Marekani na Russia au Marekani na China ni rivals na bado wanafanyiana ujasusi.
Sisi Tanzania ni tishio kiasi gani kwa Israel mpaka tuwaogope?
Makampuni makubwa ya Israel yamewekeza China, India, Brazil, USA au South Africa nchi zenye uchumi mkubwa, sioni uwoga wa kuogopa majasusi.
Mathalani, nchi kama Umoja wa Falme za Kiarabu ambao juzi tu wameanzisha diplomatic relations, wameingia mikataba ya billion dollar kuwa na collaboration za kibiashara. Watanzania tusiwaogope kiviiile hawa jamaa.
![]()
UAE-Israel normalisation may see its biggest business deal yet
If completed, deal between Mubadala and Israel’s Delek Drilling would be the biggest since Abraham Accords were signed.www.aljazeera.com
Cha msingi waje tuone value ya transfer of technology, know-how ili baada ya muda na sisi tuone faida ya kuwa na ardhi yanye kuweza kustawisha karibu kila aina ya mazao na tuondokane na imports twende kwenye exports ya consumable products badala ya kuuza raw.
Tuishukuru kampuni hiyo kupata usajili wake hapa nchini 2020, na in the course bila shaka watakuwa na mguso chanya.
Kiboko yake ni CAG Kicheere tu. Alitudanganya ATCL inapata faida Kichere akausema ukweli. Tangu 2016 ni hasara kwa kwenda mbereeeYule Jamaa alikuwa nuksi kwa uongo.
Wewe ulitaka waje na nini? Wabebe mashamba kwenye mabegi kutoka Israel waje nayo TZ? Ni nini hicho ulitaka waje nacho zaidi ya fedha?
U
Uko vizuri biblicaly,
Hongera sana,
Bila Mungu haya maisha ni ubatili mtupu,
Huyu jamaa ni mjima, anatuchosha na utopolo wake.Kwanini unaumia sana!?? Hukuwahi kujuwa kwamba SSH alikua msaidizi wa JPM au? Kuna kitu kinakuchoma eeeeh
KAZI IENDELEE
Maana hamna namna[emoji28]
Tanzania ardhi iliyo suitable kwa ajili ya kilimo mpaka sasa inayotumika ni wastani wa theluthi moja (33%); sidhani ujio wa kampuni hii itaweza kulima 67% ya ardhi iliyobakia tuwe na uwoga wa ukezaji kwenye kilimo. Na kwa taarifa ya mtoa hoja, kuna kampuni kibao za "mabeberu" wapo kwenye kilimo toka enzi za mchonga na maisha yanasonga.Nilishawahi kuonya huko nyuma, uwekezaji kwenye kilimo ufanywe na wazawa (yaani raia). Maana nchi ni ardhi, kurudisha wageni kulimisha raia ni ukoloni mpya kwa njia ya uwekezaji. Hivi nchi yetu imeshindwa kutengeneza wawekezaji wazawa hadi tunahitaji wageni kutuzalishia chakula ndani ya nchi yetu. Tunashindwa kuzalisha chakula wenyewe hadiu wageni. Hivi sis tunaweza nini kama hata kulima tunashindwa!!
Ulitaka waje na mabegi ya fedha wakuoneshe?wawekezaji wanaokuja na laptop tu! kweli tozonia kila kitu kinawezekana!
Tanzania ni lango la Mungu,Kuna watu wana roho za uharibifu tuu
Walianza kusema wasukuma, wakasema wazanzibari, wakasema mwanamke hawezi sasa wanaleta habari za ukristo na uislamu
Hiyo roho imeshashindwaaa
Umekuja na data nzuri sana,Tanzania ardhi iliyo suitable kwa ajili ya kilimo mpaka sasa inayotumika ni wastani wa theluthi moja (33%); sidhani ujio wa kampuni hii itaweza kulima 67% ya ardhi iliyobakia tuwe na uwoga wa ukezaji kwenye kilimo. Na kwa taarifa ya mtoa hoja, kuna kampuni kibao za "mabeberu" wapo kwenye kilimo toka enzi za mchonga na maisha yanasonga.
Hatuweza kuwa bora kwa kujifungia kwa kulima kwa mbinu za kizamani, afadhali aje mwekezaji ambae tuna room ya kujifunza toka kwake kupitia training college aliyokusudia kuanzisha na kupita practical training kwenye uwekezaji atakaofanya.
Tujipe muda kuwa prove wrong hao wawekezaji kama kama hawatafanya sawia na matarajio yetu kama alivyojinadi kwenye machapisho yao.
Tanzania ni lango la Mungu,
Hakuna ubaya unaweza kupenya ,
Tuendelee kushikamana na kufanya kazi kwa bidii na maarifa
Uko sahihi 100%Hii nchi ni teule, ukijaribu kutafakari tulikotoka na mambo yanayotokea utaona mengi
Muisrael yoyote unayemuona ni askari, active or on reserve army. Ni mfanyabiashara..ila usisahau kuwa Israel ndio cha kwanza kabla ya kitu kingine chochoteHawa wa Israel wanaanzisha Makampuni lakini ndani ya hiyo kampuni kuna kuwa na kitengo cha ujasusi.
Utaona kampuni kwa nje na inafanya kazi iliyoelekezwa na kilimo kinafanya kumbe kuna kazi nyingine inafanyika ya ujasusi.
Wafanyakazi wa kubwa ni watu wenye mission zao.
Kuna kampuni nyuma huko ilikuwa inaendesha shughuli zake Tanzania baada ya kampuni kutoka kufungwa,watu wakajuwa kuna ujasusi ulikuwa unafanyika kwenye Nchi zetu
Acha hofu ndugu zipo taratibu za kumiliki ardhi,Naona Israel inataka kuwa na Food security kupitia ardhi yetu.
Ukiwaleta hao, watacontrol food chain, Tusiombee walete mbegu za GMO, kisha wakulima wetu wawe tegemezi kwao kwa mbegu na madawa
Mwishowe bada ya kukaa muda mrefu waanze kutuwekea viongozi madarakani kupitia kumanipulate siasa z nchi hii au hata kufinance vikundi vya uasi kama serikali haitalinda maslahi yao.
Hawa watataka kumiliki ardhi kubwa ambayo hawatataka kuingiliwa kwa miaka hata 100