Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70



Kazi iendelee
 
wawekezaji wanaokuja na laptop tu! kweli tozonia kila kitu kinawezekana!
Wewe ulitaka waje na nini? Wabebe mashamba kwenye mabegi kutoka Israel waje nayo TZ? Ni nini hicho ulitaka waje nacho zaidi ya fedha?
 
U
Uko vizuri biblicaly,

Hongera sana,

Bila Mungu haya maisha ni ubatili mtupu,
 
Mungu asimame na Tanzania,

Tunaamini wako vizuri,
 
U

Uko vizuri biblicaly,

Hongera sana,

Bila Mungu haya maisha ni ubatili mtupu,

Kuna watu wana roho za uharibifu tuu
Walianza kusema wasukuma, wakasema wazanzibari, wakasema mwanamke hawezi sasa wanaleta habari za ukristo na uislamu

Hiyo roho imeshashindwaaa
 
Kwanini unaumia sana!?? Hukuwahi kujuwa kwamba SSH alikua msaidizi wa JPM au? Kuna kitu kinakuchoma eeeeh

KAZI IENDELEE

Maana hamna namna[emoji28]
Huyu jamaa ni mjima, anatuchosha na utopolo wake.
 
Tanzania ardhi iliyo suitable kwa ajili ya kilimo mpaka sasa inayotumika ni wastani wa theluthi moja (33%); sidhani ujio wa kampuni hii itaweza kulima 67% ya ardhi iliyobakia tuwe na uwoga wa ukezaji kwenye kilimo. Na kwa taarifa ya mtoa hoja, kuna kampuni kibao za "mabeberu" wapo kwenye kilimo toka enzi za mchonga na maisha yanasonga.

Hatuweza kuwa bora kwa kujifungia kwa kulima kwa mbinu za kizamani, afadhali aje mwekezaji ambae tuna room ya kujifunza toka kwake kupitia training college aliyokusudia kuanzisha na kupita practical training kwenye uwekezaji atakaofanya.
Tujipe muda kuwa prove wrong hao wawekezaji kama kama hawatafanya sawia na matarajio yetu kama alivyojinadi kwenye machapisho yao.
 
Kuna watu wana roho za uharibifu tuu
Walianza kusema wasukuma, wakasema wazanzibari, wakasema mwanamke hawezi sasa wanaleta habari za ukristo na uislamu

Hiyo roho imeshashindwaaa
Tanzania ni lango la Mungu,

Hakuna ubaya unaweza kupenya ,

Tuendelee kushikamana na kufanya kazi kwa bidii na maarifa
 
Umekuja na data nzuri sana,

Arable land Tanzania ni kubwa sana,

Nadhani tuendelee kupokea na wengine kama wapo,
 
Naona Israel inataka kuwa na Food security kupitia ardhi yetu.

Ukiwaleta hao, watacontrol food chain, Tusiombee walete mbegu za GMO, kisha wakulima wetu wawe tegemezi kwao kwa mbegu na madawa

Mwishowe bada ya kukaa muda mrefu waanze kutuwekea viongozi madarakani kupitia kumanipulate siasa z nchi hii au hata kufinance vikundi vya uasi kama serikali haitalinda maslahi yao.

Hawa watataka kumiliki ardhi kubwa ambayo hawatataka kuingiliwa kwa miaka hata 100
 
Muisrael yoyote unayemuona ni askari, active or on reserve army. Ni mfanyabiashara..ila usisahau kuwa Israel ndio cha kwanza kabla ya kitu kingine chochote
 
Acha hofu ndugu zipo taratibu za kumiliki ardhi,

Tanzania iko salama zama hii, amini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…