Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

Tanzania ni taifa lisilo na dini yoyote "secular"
 
Maneno ya busara sana mama D ,

Lazima tuanzishe na kuendeleza kazi nzuri na kubwa zilizoanzishwa kifikra na kimatendo na hayati JPM,

Apumze kwa amani mzee wetu,


.........KAZI IENDELEE .........
Nyie kama Pwagu na Pwaguzi
 
Tanzania ni taifa lisilo na dini yoyote "secular"

Hilo la tanzania kuwa kutokua taifa la kidini linajulikana


Kwani mimi kuna sehemu nimesema wana dini?

Kwani Ibrahim alikua dini gani?

Ishmaili na wale maseyidi kumi na wawili je?

Isaka na zile kabila kumi na mbili za Israeli je?
 
Aliyeibadilisha akaiita Tanzania aliongozwa na nini?
 
mnashangilia upuuzi tu, huyu maza tangu awe madarakan hamna kitu anafanya zaid ya maneno na mipasho, nyie mnaomsifia, sifien maana mmewekewa mipenyo na uhuru wa manyani.. ..hao waisrael feki hawajawai mpenda mtu mweusi, sasa uo uwekezaji je?? yaan hawa ndyo wanaomilik uchumi wa dunia na banking systems behind the media, alaf leo waje wakope bongo??, fungueni akili enyi wapumbavu na wavivu wa kufikil, hawa soon mtayaona matokeo ya malengo yao, kwa sasa wacha mjichekeshe, nazan mkishawajua will be too late....
 
Anatia huruma sana, wenzake wengi wamepotea jukwaani sasa, wanakuja kwa kuvizia vizia.
Tangu kifo cha hayati, marehemu, mwendazake, shujaa wa Africa na kiboko ya wazungu na Corona mama D amekosa muelekeo. Hana mbele wa nyuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…