Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

Jf tumepoteza uwezo wa kufikiri au tumekuwa biased sana linapokuja suala la Political Affiliation
Naona credits zote anapewa SSH.
Sheria zip za uwekezaji amebadili
Sera mpya zip zimetungwa?
Kwa kampuni kubwa kama hii, je maamuzi makubwa ya kuwekeza, kufanya feasibility study, kutafuta mtaji, na kuchakata uwekezaji nchini, na michakato mingine inaweza kufanyika ndani ya miezi 6 ya SSH...!!???
 
😍😍😍 Tanzania iko salama zaidi tangu baada ya Nyerere, Tuchapeni kazi tu kesho yetu inang'aa sana,

Mama aibe pesa apeleke wapi na dini ile,
Dini gani dikteta mkubwa hicho kibibi chenu, mmeanza kampeni za kijinga mitandaoni mapema sana.
 
Jf tumepoteza uwezo wa kufikiri au tumekuwa biased sana linapokuja suala la Political Affiliation
Naona credits zote anapewa SSH.
Sheria zip za uwekezaji amebadili
Sera mpya zip zimetungwa?
Je maamuzi makubwa ya kuwekeza, kufanya feasibility study, kutafuta mtaji, na kuchakata uwekezaji nchini, na michakato mingine inaweza kufanyika ndani ya miezi 6 ya SSH...!!
Data ndio zimemcredit acha kuteseka mkuu,

Namba huwa zinasema ukweli wakati wote
 
Hawa wa Israel wanaanzisha Makampuni lakini ndani ya hiyo kampuni kuna kuwa na kitengo cha ujasusi.
Utaona kampuni kwa nje na inafanya kazi iliyoelekezwa na kilimo kinafanya kumbe kuna kazi nyingine inafanyika ya ujasusi.
Wafanyakazi wa kubwa ni watu wenye mission zao.
Kuna kampuni nyuma huko ilikuwa inaendesha shughuli zake Tanzania baada ya kampuni kutoka kufungwa,watu wakajuwa kuna ujasusi ulikuwa unafanyika kwenye Nchi zetu
Una ushahidi?
 
Kwa Israel hiyo Pai(K = Constant) . Hiyo ndiyo survival yao, wanahitaji informations nyingi kila wakati ili wasurvive. Utawang'amuaje? - hilo ni swali gumu sana kujibika kwa nchi kama Tz yenye technolojia duni ya mambo ya usalama.
Sasa una maana akili ya Wa TZ ni yai,jipange upya mkuu.
Elimu mbovu mazao yake ni fikra mbovu.
 
Angalia boriti iliyo ndani ya jicho lako
🤣🤣🤣🤣 Mkuu namashaka nawewe kama unakwenda kanisani kweli,

Imeandikwa " ondoa... "

Sio" angalia ..."

Mungu akutie nguvu mkuu wangu,
 
Nawasalimu kwa jina la JMT

Wakati uwekezaji kwa miezi sita ya Rais Samia ukikua kwa 400% kutoka $510M March 2021 hadi $2.98bl Sept karibu 7trilioni mambo yanazidi kunoga na kicheko kwa Watanzania kinazidi kukolea,

Moja ya faida kubwa ya Uwekezaji toka nje ( FDI ) ni kutuletea fedha za kigeni,teknolojia,ongezeko la thamani kwenye bidhaa na huduma pamoja na ajira kwa wazawa,Taarifa za TPSF zinaonesha Sekta binafsi inabeba zaidi ya 90% ya ajira zote Tanzania,Lakini inachangia 80% ya mapato yote ya Serikali na inabeba 60% ya uwekezaji wote wa nchi,

Wakati FY 2021|22 Serikali imepanga kuajiri watu elfu 40 Aie Holding LTD pekee wanakuja kuajiri watu elfu 70 kwa Mkupuo sawa na 175% ya ajira zote mpya za serikali kwa mwaka wa fedha wa 2021|2022 ndio maana Rais Samia ameondoa jumla ya tozo 232 nahii ndio sababu kamapuni kama hii ilisajiliwa mwaka 2020 ila uwekezaji inaufanya mwaka wa Rais Samia,

Aie Holding LTD kampuni toka Israeli itawekeza kwenye biashara ya kilimo ,kilimo, elimu ya kilimo pamoja na Vifaa vya kilimo na mashine na itahitaji jumla ya hekta 25,000,Makao makuu yatakuwa D'salaam vituo vingine vitakuwa Mwanza, Morogoro,Njombe,Kagera na Bagamoyo na watatumia zaidi umeme wa jua,

Aie Holding LTD inawekeza jumla ya $250M sawa na Tshs 575BL huku $200 itatumika kujenga miundombinu na $50M itakuwa ni mtaji wa kuanzia biashara,Kazi hii itafanywa kwa ubia na baadhi ya mabenki makubwa matano bila kubali majina ya benki husika huku Staff watakaoajiriwa na kampuni hii kupelekwa kozi ya miezi kati ya 6|7 nchini Israel vijana changamkeni,

" HAKUNA KAMA SAMIA "

.........Kazi iendelee .........

==================================
The CitizenNews
Israeli firm to invest Sh575 billion in agro areas
TUESDAY SEPTEMBER 28 2021

Israel pic
Summary
Some $200 million of the money will be invested in infrastructure of agro-industrial projects, with the remaining $50 million being working capital

Dar es Salaam. Aie Holding Ltd will invest $250 million (about Sh575 billion) in Tanzania’s agro-industrial education and agro-management skills.

The company - which was registered in Tanzania last year - will invest in projects related to agricultural education, logistics division, vegetable oil plant, feed mill, packing and storage, solar power, cattle farm, poultry farm, fish farm, field crops, tropical fruit concentrate, solar power and wastewater treatment.

Headquartered in Dar es Salaam, the company whose founder and chairman is Mr Avi Postelnik, an investor from Israel, will source the money from private equity as well as local and international banks.

“We have already met the TBA (Tanzania Bankers Association) to get their support in organising five big banks to build a syndicate,” without revealing the names of banks, Mr Postelnik said at the weekend .

He said while some $200 million of the money will be invested in infrastructure of the agro-industrial projects, the remaining $50 million would be working capital. “The doors are open for potential local partners,” said Mr Postelnik.

The company, whose operation will be in Dar es Salaam, Kagera, Mwanza, Bagamoyo, Njombe and Morogoro, is expected to create about 70,000 direct jobs including that of chief executive officer to locals.

Agricultural education

Mr Postelnik said agricultural education and training will be provided in Tanzania and Israel.

“We intend to use the advanced agriculture education in Israel by enrolling Tanzanians for short and long periods in our special projects of education available in our country,” he asserted.

Some of its employees, he explained, will be taken to Israel for a 6-7 month training.

“We intend to use their (Israel) know-how to employ graduates in management and technical positions in our agro-industrial projects in Tanzania,” noted Mr Postelnik.

Logistics division

Mr Postelnik said the transportation and Logistics division will be used for delivery of the raw materials to the processing plants and then for transportation of the finished products to the local markets for sale or to the ports for export.

Vegetable oil plant

This plant is designed to process oil seeds, such as Soya bean, sunflower, corn and cotton, and bottle the oil for the local and export market.

This plant is fully automated and the residue containing protein and fat will be used in the feed mill.

Feed mill

The feed mill is specifically designed for feeding our cattle, poultry and fish. The total area for the supplying farms is planned to be around 25,000 hectares.

Packing and storage

He said the whole chicken, eviscerated, cleaned and plucked will be packed in special plastic packaging to be sold as chilled or frozen.

Solar power

All the projects will use solar energy.

Experts from Israel will come to evaluate the sites and advise the type of solar energy for maximization of natural energy

Source : The Citizen

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1956881
Mnaenda kupigwa na GMO na bado mnashangilia. Mzee Magu aliwakataa hawa watu wa aina hii.
 
Hawa wa Israel wanaanzisha Makampuni lakini ndani ya hiyo kampuni kuna kuwa na kitengo cha ujasusi.
Utaona kampuni kwa nje na inafanya kazi iliyoelekezwa na kilimo kinafanya kumbe kuna kazi nyingine inafanyika ya ujasusi.
Wafanyakazi wa kubwa ni watu wenye mission zao.
Kuna kampuni nyuma huko ilikuwa inaendesha shughuli zake Tanzania baada ya kampuni kutoka kufungwa,watu wakajuwa kuna ujasusi ulikuwa unafanyika kwenye Nchi zetu
Hiyo ni kawaida sana. Hakuna jipya. Hata wewe ukienda kuwekeza kwa mtu lazima uelewe maslahi yako ya muda mrefu katika huo namna. Kikubwa ni mikataba iko na maslahi kwa taifa? Kulikuwa na makampuni kama richmond, madini , meremeta, escrow, bagamoyo ya kikwete yanaajiri watu kukuki wa vyeo vya chini, na hayalilpi kodi kwa miaka 5, ikiisha wanabadili mmiliki naya halipi kodi na bado taifa linapewa 3% ya mapato, raslimali zinakwisha, nch iinazidi kuwa maskini na kudaiwa juu, na mikataba ya wachina ya kutafuta maeneo ya kumiliki duniani. NI hatari sana kushangilia wawekezaji bila kujali taifa linapata nini na nni hatima ya vizazi vyetu katika huo uwekezaji.
akili za jk na familillal yake, haizwezi kukomboa taifa.

Tuangalie undani zaidi.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT

Wakati uwekezaji kwa miezi sita ya Rais Samia ukikua kwa 400% kutoka $510M March 2021 hadi $2.98bl Sept karibu 7trilioni mambo yanazidi kunoga na kicheko kwa Watanzania kinazidi kukolea,

Moja ya faida kubwa ya Uwekezaji toka nje ( FDI ) ni kutuletea fedha za kigeni,teknolojia,ongezeko la thamani kwenye bidhaa na huduma pamoja na ajira kwa wazawa,Taarifa za TPSF zinaonesha Sekta binafsi inabeba zaidi ya 90% ya ajira zote Tanzania,Lakini inachangia 80% ya mapato yote ya Serikali na inabeba 60% ya uwekezaji wote wa nchi,

Wakati FY 2021|22 Serikali imepanga kuajiri watu elfu 40 Aie Holding LTD pekee wanakuja kuajiri watu elfu 70 kwa Mkupuo sawa na 175% ya ajira zote mpya za serikali kwa mwaka wa fedha wa 2021|2022 ndio maana Rais Samia ameondoa jumla ya tozo 232 nahii ndio sababu kamapuni kama hii ilisajiliwa mwaka 2020 ila uwekezaji inaufanya mwaka wa Rais Samia,

Aie Holding LTD kampuni toka Israeli itawekeza kwenye biashara ya kilimo ,kilimo, elimu ya kilimo pamoja na Vifaa vya kilimo na mashine na itahitaji jumla ya hekta 25,000,Makao makuu yatakuwa D'salaam vituo vingine vitakuwa Mwanza, Morogoro,Njombe,Kagera na Bagamoyo na watatumia zaidi umeme wa jua,

Aie Holding LTD inawekeza jumla ya $250M sawa na Tshs 575BL huku $200 itatumika kujenga miundombinu na $50M itakuwa ni mtaji wa kuanzia biashara,Kazi hii itafanywa kwa ubia na baadhi ya mabenki makubwa matano bila kubali majina ya benki husika huku Staff watakaoajiriwa na kampuni hii kupelekwa kozi ya miezi kati ya 6|7 nchini Israel vijana changamkeni,

" HAKUNA KAMA SAMIA "

.........Kazi iendelee .........

==================================
The CitizenNews
Israeli firm to invest Sh575 billion in agro areas
TUESDAY SEPTEMBER 28 2021

Israel pic
Summary
Some $200 million of the money will be invested in infrastructure of agro-industrial projects, with the remaining $50 million being working capital

Dar es Salaam. Aie Holding Ltd will invest $250 million (about Sh575 billion) in Tanzania’s agro-industrial education and agro-management skills.

The company - which was registered in Tanzania last year - will invest in projects related to agricultural education, logistics division, vegetable oil plant, feed mill, packing and storage, solar power, cattle farm, poultry farm, fish farm, field crops, tropical fruit concentrate, solar power and wastewater treatment.

Headquartered in Dar es Salaam, the company whose founder and chairman is Mr Avi Postelnik, an investor from Israel, will source the money from private equity as well as local and international banks.

“We have already met the TBA (Tanzania Bankers Association) to get their support in organising five big banks to build a syndicate,” without revealing the names of banks, Mr Postelnik said at the weekend .

He said while some $200 million of the money will be invested in infrastructure of the agro-industrial projects, the remaining $50 million would be working capital. “The doors are open for potential local partners,” said Mr Postelnik.

The company, whose operation will be in Dar es Salaam, Kagera, Mwanza, Bagamoyo, Njombe and Morogoro, is expected to create about 70,000 direct jobs including that of chief executive officer to locals.

Agricultural education

Mr Postelnik said agricultural education and training will be provided in Tanzania and Israel.

“We intend to use the advanced agriculture education in Israel by enrolling Tanzanians for short and long periods in our special projects of education available in our country,” he asserted.

Some of its employees, he explained, will be taken to Israel for a 6-7 month training.

“We intend to use their (Israel) know-how to employ graduates in management and technical positions in our agro-industrial projects in Tanzania,” noted Mr Postelnik.

Logistics division

Mr Postelnik said the transportation and Logistics division will be used for delivery of the raw materials to the processing plants and then for transportation of the finished products to the local markets for sale or to the ports for export.

Vegetable oil plant

This plant is designed to process oil seeds, such as Soya bean, sunflower, corn and cotton, and bottle the oil for the local and export market.

This plant is fully automated and the residue containing protein and fat will be used in the feed mill.

Feed mill

The feed mill is specifically designed for feeding our cattle, poultry and fish. The total area for the supplying farms is planned to be around 25,000 hectares.

Packing and storage

He said the whole chicken, eviscerated, cleaned and plucked will be packed in special plastic packaging to be sold as chilled or frozen.

Solar power

All the projects will use solar energy.

Experts from Israel will come to evaluate the sites and advise the type of solar energy for maximization of natural energy

Source : The Citizen

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1956881
Labda ile bendi ya israel vibration wanakuja kuanzisha bendi yao
 
Hayawihayawi yamekua..... huu mpango umechukua muda mrefu lakini lakini sasa umefikia patamuuuu
Kabla ya kuwahi kusifia soma Tena habari yote ubaoni mapungufu yaliyomo! Hawa hawaji na fedha mfukoni Bali wanakuja kukopa mtaji kwenye mabenki yetu matano! Jiulize, hizi benki zetu Zina uzalendo ndani yake au wao wanaangalia faida TU?
Ukisifia jiulize pia, hata wewe raia Tena mwenye raslimali zisizohamishika zilizo ndani ya nchi Yako na yalipo mabenki hayo umedharaulika? Ni kweli huna ujuzi wa kuiaminisha benki ikukopeshe? Au watanzania elimu yetu haitujengei ujuzi wa kuaminika? Yapo maswali mengi Sana kwenye hiyo taarifa ambayo ama yanatudhalilisha Kama raia kwamba mabenki hayatuamini na ama yanaidharau elimu tuliyo nayo sisi watanzania!
 
We have already met the TBA (Tanzania Bankers Association) to get their support in organising five big banks to build a syndicate,” without revealing the names of banks, Mr Postelnik said at the weekend .

Mmmhh kwa hiyo hapa wanataka baadhi ya hela kutoka banks za ndani? Hapa naona kuna magumashi, sio rahisi hizo banks za ndani kuwapatia hela, nawajua mm, hapa kuna ujanja ujanja, nina mashaka sana. Yaani watakuja na ujuzi tu hela waje wapate hapa Tz? 😡
 
NIKWELI HAKUNA KAMA SAMIA,

Samia anakibali toka kwa Mungu

Watu walifungua makampuni wakasepa Leo wanarudi baada ya sera nzuri za Rais Samia,

Nafanyaje namimi nipate kazi huko?
Hata kipindi cha Magufuli mlisema hakuna kama yeye, so hamna jipya mwendo ni ule ule kusifu na kuabudu ili mkono uende kinywani
 
Back
Top Bottom