Aina hii ya Wanawake ni kama Kutafuta Nyoka mwenye Miguu

Si huwa nasikia ukifunga na kusali unapata?
 
Wapo tatizo uzuri una maanisha ni matacle wapo kibao mnawabeza sana huku kanda ya kaskazini
 
Tafuta ambae amepigwa pasi kama muhindi wanasemaga wanakuwa na akili sana za maisha ila usije tafuta mwenye matako makubwa uwa wanasema hawana akili pambana usisahau kufunga na kuomba
 
Kwamba kwenye mafuvu ya pisi kali badala ya kukaa ubongo kumejaa mayonnaiseπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
YOTE NI KWA UTUKUFU WA MUUMBAJI.
ETI UWE NA SURA NZURI, UMBILE ZURI, HALAFU UNA RADHA POA, NA AKILI PIA?
KUNA KITU LAZIMA MUUMBA AKUPUNGUZIE.
SURA, SHAPE, RANGI,AKILI VYOTE POA. ILA MANENO YA ULIMI SASA!!!!!!😑😑
 
Ukiwa na akili unaoa wake wengi wenye sifa tofauti, mmoja kuwa na sifa zote hizo labda wa kuchora.
 
Huu mtyan sasa[emoji848]
 
Umechanganya madesa
 
Nisaidie namba ya huyo ambaye Dini ilikuwa kikwazo maana mimi hilo nmelivuka. Nashukuru sana.
 
Ukishaweka kigezo cha pesa tayari wa hivyo anappteza sifa.
 
Ukikosa mwanamke wa kuoa mwenye akili plus tako, shape,sura ya mama bas ujue wewe ndo huna akili ya kuwapata maana wapo tu wa kutosha ila kuwaona hutumii macho unatumia akili.
 
Ukishaweka kigezo cha pesa tayari wa hivyo anappteza sifa.

Pesa ni kipimo cha akili . Hakuna binadamu mwenye akili ambaye hapendi pesa.

Hakuna mwanamke mwenye akili ambaye atasema yes kwa mtu ambaye hana pesa maana pesa ndiyo kipimo cha akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…