Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaHata ww mtoa mada una mapungufu yako pia.
[emoji23]sio miguu ya nyoka.
matiti ya nyoka.
[emoji23]Sasa hapo si unatafuta wanawake watatu tofauti [emoji23][emoji23][emoji23]
Si huwa nasikia ukifunga na kusali unapata?Nashukuru me ninae wa hivyo vigezo hata yule aliopita alikuwa na hivyo hivyo vigezo tulishwandwana kitu moja tu ikapelekea mahusiano yetu kuvunjika ni kwenye upande wa dini Wazazi wake walikuwa na vikwazo Sana kwasababu nilikuwa ni mkristo baba yake alinitisha niachane na mtoto wao wa kislamu ila kabla ya huyu wasasa na aliyopita nilikutana na mabinti wasiokuwa na akili wengi ambao wapo kimaslahi Sana kama unaowalalamikia.Nakushauri ndugu yangu we endelea na kubahatisha hivyo hivyo ipo siku utampata huyo demu mwenye mahitaji unayotaka
Yah unapata kabisaSi huwa nasikia ukifunga na kusali unapata?
Kwamba kwenye mafuvu ya pisi kali badala ya kukaa ubongo kumejaa mayonnaise😂😂😂😂😂😂Mwanamke
1. Mzuri wa Sura
2. Mzuri wa Umbo
3. MWENYE AKILI?
Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto.
Unakuta dada mzuri wa umbo na sura lakini kichwani.... Empty. Unaumia sana kuwa huyu si anaweza hata kukuambukiza upumbavu?
Miaka hii.. sijui ni kutokana na aina ya vyakula tulavyo...watoto wanazaliwa wazuri sana hasa mabinti. Lakini kichwani kumejaa tu mayonnaise hamna kitu.
Sisi wengine tunabaki tu tunaumia. Maana pia shida inakuwa kubwa wenye akili nao hawazaani sana ukilinganisha na hawa wengine...
NIMPATE WAPI MWANAMKE MZURI WA SURA,UMBO NA MWENYE AKILI (MZURI WA TABIA)? Nimpate wapi mimi Chizi Maarifa?
Huu mtyan sasa[emoji848]Wapo kibao kama unapenda wenye sifa hizo na umri mdogo nenda katege udbs pale udsm
Kama unapenda wakubwa wenye sifa hizo nenda katege kampuni za auditing big 4.. uone pisi kali zenye akilii kubwaaa..
Ila mpaka uwapate uwe na wewe akiliii kubwaa na pesaa mingiiii
Umechanganya madesaWapo kibao kama unapenda wenye sifa hizo na umri mdogo nenda katege udbs pale udsm
Kama unapenda wakubwa wenye sifa hizo nenda katege kampuni za auditing big 4.. uone pisi kali zenye akilii kubwaaa..
Ila mpaka uwapate uwe na wewe akiliii kubwaa na pesaa mingiiii
Nisaidie namba ya huyo ambaye Dini ilikuwa kikwazo maana mimi hilo nmelivuka. Nashukuru sana.Nashukuru me ninae wa hivyo vigezo hata yule aliopita alikuwa na hivyo hivyo vigezo tulishwandwana kitu moja tu ikapelekea mahusiano yetu kuvunjika ni kwenye upande wa dini Wazazi wake walikuwa na vikwazo Sana kwasababu nilikuwa ni mkristo baba yake alinitisha niachane na mtoto wao wa kislamu ila kabla ya huyu wasasa na aliyopita nilikutana na mabinti wasiokuwa na akili wengi ambao wapo kimaslahi Sana kama unaowalalamikia.Nakushauri ndugu yangu we endelea na kubahatisha hivyo hivyo ipo siku utampata huyo demu mwenye mahitaji unayotaka
Ukishaweka kigezo cha pesa tayari wa hivyo anappteza sifa.Wapo kibao kama unapenda wenye sifa hizo na umri mdogo nenda katege udbs pale udsm
Kama unapenda wakubwa wenye sifa hizo nenda katege kampuni za auditing big 4.. uone pisi kali zenye akilii kubwaaa..
Ila mpaka uwapate uwe na wewe akiliii kubwaa na pesaa mingiiii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hili nalo neno nimelichukua.Sasa hapo si unatafuta wanawake watatu tofauti 😂😂😂
Ukikosa mwanamke wa kuoa mwenye akili plus tako, shape,sura ya mama bas ujue wewe ndo huna akili ya kuwapata maana wapo tu wa kutosha ila kuwaona hutumii macho unatumia akili.Mwanamke
1. Mzuri wa Sura
2. Mzuri wa Umbo
3. MWENYE AKILI?
Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto.
Unakuta dada mzuri wa umbo na sura lakini kichwani.... Empty. Unaumia sana kuwa huyu si anaweza hata kukuambukiza upumbavu?
Miaka hii.. sijui ni kutokana na aina ya vyakula tulavyo...watoto wanazaliwa wazuri sana hasa mabinti. Lakini kichwani kumejaa tu mayonnaise hamna kitu.
Sisi wengine tunabaki tu tunaumia. Maana pia shida inakuwa kubwa wenye akili nao hawazaani sana ukilinganisha na hawa wengine...
NIMPATE WAPI MWANAMKE MZURI WA SURA,UMBO NA MWENYE AKILI (MZURI WA TABIA)? Nimpate wapi mimi Chizi Maarifa?
Ukishaweka kigezo cha pesa tayari wa hivyo anappteza sifa.
Wewe umeshaolewa? Unazo hizo sifa?Ukikosa mwanamke wa kuoa mwenye akili plus tako, shape,sura ya mama bas ujue wewe ndo huna akili ya kuwapata maana wapo tu wa kutosha ila kuwaona hutumii macho unatumia akili.