Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Basi we endelea na hizi akili. Utaliwa hadi uzeeni na hakuna atakae kuja kukaa na wewe kwa hizo akili.... Kama unabisha tupinge..

Kwani hata nisipopasha hicho kiporo sitoliwa amaaa...

Inategemea naliwa na nani.kuliwa nitaliwa sana tu hata kama sio kupasha kiporo lazima niliwe mkuu siwezi kujila mwenyewe
 
Tayari tumeshapinga......endelea na hizo tabia za mashindano kama wewe kweli ni mwanamke. But ipo siku utakuja kujionea....
😂😂😂tulia mkuu hapa ni jf kwa mwamba wangu ninamnyenyekea kinyama
 
Kwani hata nisipopasha hicho kiporo sitoliwa amaaa...

Inategemea naliwa na nani.kuliwa nitaliwa sana tu hata kama sio kupasha kiporo lazima niliwe mkuu siwezi kujila mwenyewe
No me nimemaanisha kwa mwenendo wa majibu yako, ukiendekeza mashindano na jinsia ya kiume wewe ndie utakayepoteza sio mwanaume.
 
No me nimemaanisha kwa mwenendo wa majibu yako, ukiendekeza mashindano na jinsia ya kiume wewe ndie utakayepoteza sio mwanaume.
Bhna ee yote sawa...maisha yenyewe yanatuvuruga akili. Waaahi
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bhna ee yote sawa...maisha yenyewe yanatuvuruga akili. Waaahi
Tuliza akili sasa. Unadhani ukishindana ndio akili yako itapata utulivu.....wews unaacha kupambana na maisha unapambana na wanaume.... Umeambiwa adui yako hapa duniani ni mwanaume?!
 
Tuliza akili sasa. Unadhani ukishindana ndio akili yako itapata utulivu.....wews unaacha kupambana na maisha unapambana na wanaume.... Umeambiwa adui yako hapa duniani ni mwanaume?!
🤪🤪🤪mbona kama umepanic mkuu.

Sisi wanawake hatuna shida kabisa na nyie na ndo mana humu ndani nyuzi nyingi ni za wanaume kuwalalamikia wanawake sisi tumetulia tuliii😅😅tunawacheki tu.

Kwani mtu umelazimishwa kuishi na mwanamke??akikuzingua piga chini vuta chuma kingine ndani .

Msisahau kuongeza juhudi za kutafuta hela🥂
 
Sasa mbona unachanganya mambo kijana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu relax, we tafuta pesa timiza majukumu yako. Majukumu yetu tuachie wenyewe.
 
Halafu sisi hatupendi pesa Bali tunatimiza maandiko baba ndo kichwa hvyo kazi ya kichwa inajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikija suala la pesa basi ujue tuko sawa hakuna kichwa wala kiwiliwili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yakija majukumu mengine ndio utasikia wao ni vichwa hivyo lazima waheshimiwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…