financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,210
- 43,608
Hata si vimini sana mkuu,nusu uchi mmh siwezi[emoji3], vipi unawaonaje wavaa vimini?, si waifu materials?...ila usitembee nusu uchi tu [emoji12][emoji12]
Hata si vimini sana mkuu,nusu uchi mmh siwezi[emoji3], vipi unawaonaje wavaa vimini?, si waifu materials?...ila usitembee nusu uchi tu [emoji12][emoji12]
Yaani hupendi mwanamke asiye asiyependa ugomvi??, ama sijaelewa [emoji2369]Mwanamke asiyependa ugomvi
Nadhani mvuto ndyo changamoto mkuu, watu wanakimbiaa[emoji2960]Unafail wapi ndugu yangu?
Hata si vimini sana mkuu,nusu uchi mmh siwezi[emoji3], vipi unawaonaje wavaa vimini?, si waifu materials?
Yaan hizi sifa zooooote anazo fala aliyenioa aisee mpaka nakoma mbona.kwenye ujuaji sasa hapo ndio basi yaan mpaka kichefuchefuMuongo, Mchoyo, Mbinafsi, Mwenye roho mbaya, Katili, mwenye dharau, majivuno, kiburi, jeuri na mjuaji.
Yaan hizi sifa zooooote anazo fala aliyenioa aisee mpaka nakoma mbona.kwenye ujuaji sasa hapo ndio basi yaan mpaka kichefuchefu
Ningeyajua haya yote hata nisingeingia.hakuwahi kuonesha sifa za hivi ila sifa niliyoijua ni ukali na nilijua ni kwa sababu ya mazingira aliyokulia ndio akawa hivyo kumbe ana sifa nyingine kemkem zilikuwa zimefichikaMwanzoni kabla hamjaoana hukujua?
[emoji3][emoji3] basi ntakuona mkuu tuyajenge(joke)[emoji12]Mie vimini havinipi shida. [emoji12][emoji12]
kila mtu joke![emoji15] Upo serious na nani? Mimi?[emoji3][emoji3] basi ntakuona mkuu tuyajenge(joke)[emoji12]
Aiseee.Mtu anayenipa nipa ushauri sana kama vile tafuta hela, tafuta kazi... Ma**e kwani mi sijui nachokifanya, sipendi watu wa namna hii. Haitakula hata week naachana nae.
Sent from my Infinix Zero 4 Plus using JamiiForums mobile app
Wengi tu, wanajifanya eti ndo wana akili za kikubwa kuelekea mahusiano hasa maisha ya ndoa.Aiseee.
Sasa kwa nini akuambie hayo? Ulishakutana na mmoja wa hivo?
Pole sana.Wengi tu, wanajifanya eti ndo wana akili za kikubwa kuelekea mahusiano hasa maisha ya ndoa.
Sent from my Infinix Zero 4 Plus using JamiiForums mobile app
Santee!!! Hela zinatafutwa daily. Mawazo yao tu yanawatuma hivo. Mi napenda mtu ananiuliza leo wapi? Nakuja, au njoo tunaongea vitu vya uongo na ukweli show!! Sio mambo ya ushauri wa pesa na kazi...Pole sana.
Ni kweli hauna hela na hauzitafuti?
Ananuka K sio fresh bhana mwanamke kunuka K mbn kawaida tuu inapiga tuu mzigo unasepa mbn safi tuu...Kuna demu nimetoka kumtimua geto mida hii kwa sifa zifuatazo
1 Mbishi na kila kitu yeye anakijua vizuri
2 muda wote yeye na simu tu kufuatilia ujinga fb
3 mnene (mwanamke mnene huwa simuelewi)
4 nimegundua ana ubaguzi wa kikabila,yeye ni mnyakyusa hivyo makabila mengine anatuona karatasi tu
5 Sifa moja mbaya zaidi Ambayo sijaweza kuivumilia sitotaja maana naweza kutapika kwa kinyaa ila wajuvi wa kuchakata mzigo huwa hawarudii mwanamke Wa namna hiyo wakishagundua kama ana tatizo hilo
[emoji3][emoji3] basi ntakuona mkuu tuyajenge(joke)[emoji12]
Aliyekwambia mimi mzembe ni nani wewe tegemezi? unatafuta hela zako huku unajiapisha kua hutakua na Mwanaume bahili? huoni kua hapo hujiamini? Achana na fikra za zama za Mawe,jitegemee na sio kutegemea nguvu za mwingine,tafuta hela zako acha kukasirikia watu kwa hela zao,tafuta zako.Natafuta zangu na bado nahudumiwa, wanaume mmeumbwa kuwa providers msitumie nguvu kubwa kubadili hilo kamwe halitobadilika..!
Hebu tafuta pesa za kutosha uhudumie mke na familia yako, Acha uzembe na vijisababu.!!
😂 😂 😂 😂Aliyekwambia mimi mzembe ni nani wewe tegemezi? unatafuta hela zako huku unajiapisha kua hutakua na Mwanaume bahili? huoni kua hapo hujiamini? Achana na fikra za zama za Mawe,jitegemee na sio kutegemea nguvu za mwingine,tafuta hela zako acha kukasirikia watu kwa hela zao,tafuta zako.
Napenda mwanamke mgomvi kiaina ili akili yangu ichangamke muda woteYaani hupendi mwanamke asiye asiyependa ugomvi??, ama sijaelewa [emoji2369]