Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Muongo
Mshirikina
Mchafu (hasa anayenuka kwapa na papuchi)
Mdomo chuchungi (kidomodomo au gubu)
Mengine hanavumilika
 
Nikijiangalia hapa nimenyoa kiduku, nina bonge la bleach mbaya zaidi nimezivurugaaaaa.
Mchana nilivaa jeans ya kuchanikachanika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na miwani hivi ya jua haloo ningekuwa babe wa mleta mada talaka ningepewa leo.

Nimecheka sana hivyo vigezo vyako.
Mkuu hiyo, avatar ni ww?
 
mwanamke mwenye body image issues anakuaga msumbufu sana. mkigombana kidogo tu atahisi humpendi kwa sababu ya mwili wake. wanakuaga na low self esteem hata umsifie vipi haitoshi.

type hii sio wa kuwa nae milele, mtazinguana sana, zile stress za mwili wake zitakustress hadi wewe. kila muda atahisi unachepuka au unavutiwa na wanawake wengine anaoona yeye wana mwili mzuri kuliko yeye.

streeeeesssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!
Hiii ni zaidi ya balaaa mkuu...!! Mwanamke ambae hajiamini shida sanaa hata umsifiee vip bado atakuwa na mawengee balaaaa yani hakuna kiti kabisaaa....
 
Back
Top Bottom