Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Tafuta hela zako acha kua tegemezi,enzi za kukariri kua Mwanamke ni mtu wa kupewa tu na Mwanaume zilishapitwa na wakati,tafuta hela zako badala ya kukasirikia au kuchukia wanaume kisa hela zao walizozitafuta wao wenyewe kwa jasho lao bila msaada wako wowote.
Mkuu, kwa huu ukweli mchungu, utashambuliwa na vilaza hadi mods waingilie kati kuja kukupa msaada wa hifadhi.
 
ambao hatujawai kuwa na wanawake wetu peke yetu tunacomment wap! binafs mi mwanamke awe na sifa zote mbaya isipokuwa ya kuchepuka. ndo mana inapendeza ujishughulishe na wa wengine, utakuwa huna cha kukuuma.
 
Mwanamke akishakuwa anasema sema uwongo yaani nikimuona huwa nahisi kutapika kabisa na hamu ya chochote nae inakata...napenda ukweli hata kama unauma nambie tu
 
Pamoja na imani kwamba mahusiano bora huwezekana kwa kukutana na mtu sahihi, na ni dhahiri kwamba mwanamke yeyote anaweza kabisa kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote kwa amani ikiwa kila mmoja wao atakuwa 'motivated' kujua mahitaji ya mwenzi wake huyo na kuyajibu ipasavyo, na hapa ndipo kunakuwa na uwezekano mkubwa kabisa kwa watu kuanzisha na kuendeleza mahusiano na mtu yeyote bila kujali mwonekano wake, tabia na utamduni wake.

Binafsi kuna aina ya wanawake hata kama ni wazuri kiasi gani kimuonekano sijawahi kabisa kuwatamani kuwa nao kimahusiano, ikitokea nikawa nao huko mbeleni lazma nitaawacha baada ya kukidhi haja zangu, nitaorodhesha baadhi ya mambo machache hapo chini ambayo mwanamke akiwa nayo hanivutii kabisa.

Wanawake wabandika kope, kucha bandia, ama anaefuga kucha ndefu, anaejikrimu (mwenye madoa ya rangi mbili mwilini), aliyechora tattoo kwenye mwili wake, aliyetoboa sikio zaidi ya mara moja, anaenyoa kiduku, anaevaa zile jinsi za kuchanikachanika, wanaoweka vipini kwenye ulimi, kitovuni na puani, wavaa vikuku mguuni yaani hawa sivutiki nao kabisa hata wawe warembo kama bikra maria

Ladies and gents njoo hapa mseme aina ya watu ambao hawawavutii kuingia nao kwenye mahusiano

mtu muongo
 
Hizo sababu umetoa hapo ndizo zimekatazwa hata kwenye vitabu vya MUNGU, so upo sahihi sana kuwatema wanawake wa hivyo.

Kwa upande wangu sipendi mwanamke mchafu. Tena umesema umenikumbusha kisa kimoja, kuna kabinti nikuja nako kwenye pango langu. Tulipitia sokoni kununua mahitaji ya chakula mchana ili tupike chakula badala ya kwenda mgahawani.

Sasa shida ikaja kwanza, wakati anakatakata vitu vya kupika mimi nilikuwa pembeni sikumbuki nilikuwa nafanya nini ila ikawa zari nikamtupia macho nakuona lile tukio sidhani kama yeye alijua nimeona.
Alikuwa anachokona pua kwa kidole akatoka na ukoko wa kamasi wa puani akapangusia kwenye shelf la jikoni kwa chini hivi kisha akaendelea na kukata viungo.

Nikaondoka sikuonyesha mstuko nikaenda room. Kisha baada ya sekunde chache nikamwambia twende tu tukanunua chakula chochote tule fasta maana tutachelewa hadi chakula kiive sio leo.....
Tukaenda kununua na kurejea kwenye pango, tukawa tunakula yaani ile akisema anataka kunilisha nikikumbuka lile tukio natamani kuputa ule mkono maana naona kama ananilisha ule ukoko wa kamasi wa puani.....
Tulivyomaliza kula mimi hapo tayari nimeshamuona wa ajabu akawa anataka tupeane mzigo ambao kwa wakati huo mimi nishaanza kuingia kinyaa kufanya.

Ikabidi nijikaze huku na kule kwenye kinywa hakuwa na shida hakikuwa na harufu za ajabu. Balaa ni kule chini, kulikuwa na vile vitu kama mtindi
Aiseee pale pale nikaenda kuoga nikasema kama ataniona waajabu wacha iwe hivyo nikamwambia tukaoge hakubisha maana na yeye alikuwa anaona noma kwa wakati huo baada ya ile hali..... Nikaoga chap na yeye akaoga then hao nduki nikamrejesha kwake.... Tokea hiyo siku sikuwahi kutaka kutana nae tena, akipiga simu, akitext ni chenga tu ila sijataka tena mazoea nae sababu ya tabia za ajabu zinazoambatana na uchafu.
 
Mwanaume bakhili, simtaki hata kwa nyongeza.!! [emoji28]
We mdangaji..... Baba yako angekuwa na pesa usingekuwa unaomba omba hela kwa boyfriend wako. Na kama unajua kuwa kwenu hakuna pesa na baba yako hana mbona unataka mtoto wa watu apate shida kuula mfupa ambao baba yako umemshinda?!

Mpatie space kijana wa watu apambane atafute, wewe kazi yako ni kumsapoti na kumpa comfort akipata yeye na wewe utapata. Usipende kuassume kuwa mtu asipokupa kitu basi kakunyima au ni bahiri mwingine kweli hana ila hawezi kukwanbia.
 
Tafuta hela zako acha kua tegemezi,enzi za kukariri kua Mwanamke ni mtu wa kupewa tu na Mwanaume zilishapitwa na wakati,tafuta hela zako badala ya kukasirikia au kuchukia wanaume kisa hela zao walizozitafuta wao wenyewe kwa jasho lao bila msaada wako wowote.
True mkuu, watoto wa kike wadangaji wanatia kichefuchefu sana.....
 
Una maanisha nini kusema "Mjuaji?"
Mwanamke mjuaji huwa anakuwa ni mtu wa mabishano ili ashinde..... Anataka akuonyeshe kuwa yeye hakosei na anajua zaidi kukushinda..... Hata muda mwingine anaweza asiwe sahihi ila atataka kujustify ile kutokuwa sahihi kuwa yupo sahihi. Wanaboa balaa
 
Kwangu Mimi mwanamke "acidic woman" , mwanamke mwenye Gubu huyo ni wa kufukuza hata awe mzuri vipi
 
Natafuta zangu na bado nahudumiwa, wanaume mmeumbwa kuwa providers msitumie nguvu kubwa kubadili hilo kamwe halitobadilika..!
Hebu tafuta pesa za kutosha uhudumie mke na familia yako, Acha uzembe na vijisababu.!!
Ni kweli wanaume ni providers kwa wake zao ila sio nyie viburi sasa naprovide vipi kwa mtu ambaye hauna vigezo vya kuwa mke wangu unachukulia poa neno kuprovide.... Eti?!

Usiclaim maisha we sema tu unadanga hizo habari za kusingizia sijui mwanaume provider acha umbea wako hapa....

Mwanaume ana provides kwa mke wake wa ndoa tu tena yule muadilifu na mwenye utii na mapenzi ya kweli kwa mumewe huyo ndio ana haki ya kudai matunzo ya mume wake. Wewe ambae haujaolewa au umeolewa ila mwenendo wako ni tia maji tia maji unaishi na mumeo kama boyfriend au mtu baki then hauna haki wala sababu ya kudai matunzo.....
 
Wanawake wa aina yako ndio mnaowaponza wanawake wengine.Ndiyo pesa tunatafuta na tunahudumia lakini kamwe hatuhudumii mwanamke wa aina yako unayeweka mbele maslahi ya pesa kuliko utu.Nina uhakika hata huyo anayekuhudumia hafanyi kwa sababu ya mapenzi bali matumizi.Utajitetea sana ila wanawake wa type yako msio na aibu hamfai katika jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
True mkuu hawa ni wakutomba kisha unatemana nae maana wanajifanya wanajua pesa na kuitafuta hawawezi....
 
Huwa tunawaacha waongee weee, coz kila mada yeye either ilimtokea au rafiki yake. Siku hizi ukitaka ufurahie maisha kuwa msikilizaji zaidi y muongeaji.
Kuna MTU wangu wa karibu mmoja yuko hvyoo!anajua kila kitu ,kila ukileta story imemtokea ndugu yake au sijui rafiki yake,yaani mi namskilizaga Tu simbishii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom