Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,375
- 56,096
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂We mdangaji..... Baba yako angekuwa na pesa usingekuwa unaomba omba hela kwa boyfriend wako. Na kama unajua kuwa kwenu hakuna pesa na baba yako hana mbona unataka mtoto wa watu apate shida kuula mfupa ambao baba yako umemshinda?!
Mpatie space kijana wa watu apambane atafute, wewe kazi yako ni kumsapoti na kumpa comfort akipata yeye na wewe utapata. Usipende kuassume kuwa mtu asipokupa kitu basi kakunyima au ni bahiri mwingine kweli hana ila hawezi kukwanbia.
Mtu muongo muongo 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️❌❌
Anko [emoji137][emoji137][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole sana bruh'...!!
I mished you uncle, 😔Anko [emoji137][emoji137]
Mimi ni zaidi hadi nimekuwa mchiinga.I mished you uncle, [emoji17]
Hahaa,Mimi ni zaidi hadi nimekuwa mchiinga.
Habari ya siku nyingi mama?
Hakika yangu ni kwamba kila kitu kipo sawa kwa upande wako
Mungu ni mwema, tumtegemee kwa kila jambo [emoji120][emoji120]Hahaa,
Eti mchiinga'...!
I'm so thankful kiukweli anko Mungu ananipigania mno kiume, mambo yanasonga.!!
Jamani??Usikutane na mademu wa kimatengo wa Mbinga ni Waongo by nature na Malaya by nature na hawajutii hizo tabia. Unaweza kuua kama hizi tabia ni sumu kwako
Jamani??
Imebidi nikupe makavu maana umezingua sana..... Tukiwaacha nyie baadae ndio mnakuja kuchezea kichapo kwa akina uchebe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole sana bruh'...!!
Sasa boss mtu kama hana si inaeleweka huyo hatumuiti bahili ni maskini. Bahili maana yake anazo lakini hatoiWe mdangaji..... Baba yako angekuwa na pesa usingekuwa unaomba omba hela kwa boyfriend wako. Na kama unajua kuwa kwenu hakuna pesa na baba yako hana mbona unataka mtoto wa watu apate shida kuula mfupa ambao baba yako umemshinda?!
Mpatie space kijana wa watu apambane atafute, wewe kazi yako ni kumsapoti na kumpa comfort akipata yeye na wewe utapata. Usipende kuassume kuwa mtu asipokupa kitu basi kakunyima au ni bahiri mwingine kweli hana ila hawezi kukwanbia.
Watoto wengi wa kike siku hizi wana assume kuwa zipo hata kama hazipo.Sasa boss mtu kama hana si inaeleweka huyo hatumuiti bahili ni maskini. Bahili maana yake anazo lakini hatoi
Eeh hayaWatoto wengi wa kike siku hizi wana assume kuwa zipo hata kama hazipo.
🤣🤣🤣Aisee huyo nomaHizo sababu umetoa hapo ndizo zimekatazwa hata kwenye vitabu vya MUNGU, so upo sahihi sana kuwatema wanawake wa hivyo.
Kwa upande wangu sipendi mwanamke mchafu. Tena umesema umenikumbusha kisa kimoja, kuna kabinti nikuja nako kwenye pango langu. Tulipitia sokoni kununua mahitaji ya chakula mchana ili tupike chakula badala ya kwenda mgahawani.
Sasa shida ikaja kwanza, wakati anakatakata vitu vya kupika mimi nilikuwa pembeni sikumbuki nilikuwa nafanya nini ila ikawa zari nikamtupia macho nakuona lile tukio sidhani kama yeye alijua nimeona.
Alikuwa anachokona pua kwa kidole akatoka na ukoko wa kamasi wa puani akapangusia kwenye shelf la jikoni kwa chini hivi kisha akaendelea na kukata viungo.
Nikaondoka sikuonyesha mstuko nikaenda room. Kisha baada ya sekunde chache nikamwambia twende tu tukanunua chakula chochote tule fasta maana tutachelewa hadi chakula kiive sio leo.....
Tukaenda kununua na kurejea kwenye pango, tukawa tunakula yaani ile akisema anataka kunilisha nikikumbuka lile tukio natamani kuputa ule mkono maana naona kama ananilisha ule ukoko wa kamasi wa puani.....
Tulivyomaliza kula mimi hapo tayari nimeshamuona wa ajabu akawa anataka tupeane mzigo ambao kwa wakati huo mimi nishaanza kuingia kinyaa kufanya.
Ikabidi nijikaze huku na kule kwenye kinywa hakuwa na shida hakikuwa na harufu za ajabu. Balaa ni kule chini, kulikuwa na vile vitu kama mtindi
Aiseee pale pale nikaenda kuoga nikasema kama ataniona waajabu wacha iwe hivyo nikamwambia tukaoge hakubisha maana na yeye alikuwa anaona noma kwa wakati huo baada ya ile hali..... Nikaoga chap na yeye akaoga then hao nduki nikamrejesha kwake.... Tokea hiyo siku sikuwahi kutaka kutana nae tena, akipiga simu, akitext ni chenga tu ila sijataka tena mazoea nae sababu ya tabia za ajabu zinazoambatana na uchafu.
the one thing I like about you, ni vile huwa unaelewa mambo in a single shot..!!Sasa boss mtu kama hana si inaeleweka huyo hatumuiti bahili ni maskini. Bahili maana yake anazo lakini hatoi
Bruh'Imebidi nikupe makavu maana umezingua sana..... Tukiwaacha nyie baadae ndio mnakuja kuchezea kichapo kwa akina uchebe