Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Mi binafsi siwezi date na mwanaume mvuta sigara coz harufu ya sigara inakenikera hasa moshi ukinifikia

Mnywapombe sipendi harufu ya pombe na mkojo wa mnywapombe

Mengine Siri yangu.
 
Ndoa utaisikia peponi, hakuna mwanaume makini anaeoa wanawake type hiyo... hao huwa wanatumika kusuza rungu tu halafu wanajiondokea kimyakimya, na hakuna mwanaume bahili kwa mwanamke ambaye anaona kabisa anafaa kuwa mke wake unapoona hatoi hata mbuni yake ya kununulia rozali kwako jua kabisa sio tarajiwa lake.
Unaongea as if wanaume wote wana mindset kama yako.
Wanaume maskini maskini ndo wana akili kama yako.
 
Uache kujisikitikia wewe kwa ukapuku wako ukanisikitikie mimi ninayefaidi mema ya dunia hahaha kua serious kijana,

Muombe Mungu akupe na wewe uondokane na hayo mawazo yako mgando juu ya wanawake.
Yeye mwenye mawazo na kauli za kusuuza rungu anamuhitaji Mungu zaidi aache unafiki.
 
Mwanamke mchawi na mchafu, asiyependa kujishughulisha.
 
Unaongea as if wanaume wote wana mindset kama yako.
Wanaume maskini maskini ndo wana akili kama yako.
Hahaha umenichekesha sana.
Hizi keyboard zinawawadanganya sana.

Nilichogundua hii mada imekugusa sana.
 
Ndiyo imenigusa.
Hukutaka nichangie au?
Hapana mrembo ni haki yako.

Ila nimefurahi kuona unaniambia Mimi maskini.

lakini ukweli ni kwamba Kama una sifa tajwa hapo juu sisi tutakutumia Kama kojoleo then tukitaka kuoa tunakuweka pembeni.

Huu ni ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom