Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

sikujua hili mkuu, imebidi nipitie post zake za nyuma na comment humu jukwaani

Daaaah hii dunia aiseeee, mungu amupe wepesi tu ajitambue atoke kwenye hiyo dunia aliyopo
Pole kwa kazi nzito iliyokupata, kama nakuona ulivyokua umekaza uso na kutoa macho,

[emoji1787][emoji1787]
 
Sex machine bwahahaha kula hujui sex itaijulia wapi acha kujitutumua,Bisexual alishawahi kukugegeda eeh, pole sana.
Kumgegeda mwanamke anayesagana kama wewe ni adhabu nisiyoiweza.

kwanza hata ukikaa chiu siwezi kukutamani
 
Uache kujisikitikia wewe kwa ukapuku wako ukanisikitikie mimi ninayefaidi mema ya dunia hahaha kua serious kijana,

Muombe Mungu akupe na wewe uondokane na hayo mawazo yako mgando juu ya wanawake.
Acha kujidanganya
Hakuna mema ya nchi kwenye disability

Kusagana ni disability, like it or nor but that is the fact.
 
Lol,
Sababu huna hadhi wala power ya kugegeda mwanamke anayesagana labda kama unatamani kusagwa, dildo za mbao zipo.
Of course sina hadhi hiyo.

Hiyo hadhi wanayo watu wote wasojitambua kama wewe and the likes of you
 
amna mkuu unanielewa vibaya sijawahi kufata tabia ya mtu
nafata nnachokiamini mimi binafsi.
ukiona natetea ujue ni hoja yangu binafsi
kitu ambacho hamkijui ndio maana nmesema msihukumu,mm nakubali kubadilika kaka mkubwa kaniambia neno moja tu nmemuelewa.Niko hivyo
tatizo lenu mnajibu kibishi ndio maana wengine tunaonekana wabishi , kumbe ukisema tu sio vizuri kuvaa hivyo mdogo wangu mi sipendezwi ntakuelewa mara 500 na ntaona na aibu
sasa usije kumfata yule mwenzako Culture Me atakupoteza.

yeye hapa anatangaza biashara... pitia post zake za nyuma na comment utajua aina ya mtu mnaesapotiana nae...
 
amna mkuu unanielewa vibaya sijawahi kufata tabia ya mtu
nafata nnachokiamini mimi binafsi.
ukiona natetea ujue ni hoja yangu binafsi
kitu ambacho hamkijui ndio maana nmesema msihukumu,mm nakubali kubadilika kaka mkubwa kaniambia neno moja tu nmemuelewa.Niko hivyo
tatizo lenu mnajibu kibishi ndio maana wengine tunaonekana wabishi , kumbe ukisema tu sio vizuri kuvaa hivyo mdogo wangu mi sipendezwi ntakuelewa mara 500 na ntaona na aibu
Umesomeka bidada
 
wewe unafaa kuoa sasa, amini utawapa wako mda si mrefu
 
Amin nitakualika kaka mkubwa.
waambie waoaji Wakipenda mwanamke wanauwezo wa kuwabadilisha muonekano akiona habadikili ruksa kumuacha..
unataka waonje sumu kwa kuionja?😀😀😀
 
mwanamke
1.anayeishi nje ya uwezo uliopo
2.asiye na uvumilivu wa kukosa ridhiki, ila ni mvumilivu wa makosa pale unapokuwa nacho yaani mi huwa nawashusha thamani sana, mwanamke ambaye ukiwa na hela hata ulale na mwanamke mwingine mbele yake atavumilia
3.Mrembo sana, kumbuka kuna urembo na uzuri
4.mwenye wivu kupita kiasi huyo hata siku hatumalizi baada yakunipa mzigo
 
Mjadala mkuu umejikita katika haiba(taiba) na pesa. Maisha ni magumu mno, mafupi sana, ishini mnavyoona inafaa ili mradi hamuingilii faragha za wengine.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mi mwanamke anaevaa jeans za kubana, vinguo vifupi na mpaka bleach sijui namwonaje kama muhuni flani hivi. Samahanini sana kama mpo humu ila ni mtazamo wangu huo.
 
Back
Top Bottom