Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Wadada wa kubleach nywele na wanavaa miwani kubwa kama beyonce[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hao unavaaa ndomu mbili. Ikitokea mna deti
Tuko pamoja.

Pia wana wanaobandika kucha, tena mikono yote, anayepaka ma makeup na malips sticks ya kila rangi, hao ni hit and run.
 
mkuu nimeshaambiwa wewe ni shoga, sikujua hili kabla kwa hiyo tusameheane tu.
pitia reply zako upya utajigundua kwamba hauko sawasawa.

wewe mtu mmoja kuna mda unaandika ukijionesha wewe mwanamke, mda mwingine wewe mwanaume...
Ushoga wangu haufuti tatizo lako la kiuchumi, tafuta hela uenjoy mema ya dunia, bila hivyo utakua na hasira na kila mtu,

Mwanamke anahitaji matunzo yakhee natural iachie miti.

[emoji1][emoji1]
 
kama huelewi utaelewa siku ukiwa single mother au umri ukisoma 30+ huku kilometa za papuchi zikiwa zishatembea vya kutosha na hakuna BF aliye na muelekeo wa kukuchumbia....mtaendelea kutulaumu wanaume wakati makosa ni yenu.
-Hujajibu hoja zangu.
-Umri hata ukisoma 100++ sio tatizo kabisa.
kama ipo ipo tu
-Pengine Mahusiano/Ndoa/Familia/watoto sio kipaumbele cha kila mwanaadamu[emoji4]
-kilometa hazisomi kwa sababu inawezekana
mtu kuishi bila mwanaume na ukafanya mambo mengine tofauti ya msingi aliyoyapa kipaumbele.
 
Ushoga wangu haufuti tatizo lako la kiuchumi, tafuta hela uenjoy mema ya dunia, bila hivyo utakua na hasira na kila mtu,

Mwanamke anahitaji matunzo yakhee natural iachie miti.

[emoji1][emoji1]
sawa usijali, nimekubali sina pesa na nashukuru kwa ushauru nitazitafuta.

lakini mkuu nimesikitika sana kwa nini ukubali hali hiyo uliyo nayo? Daaah aisee nimehisi mwili wangu umepigwa ganzi.

Imenibidi nipitie post zako na comment humu jukwaani, Daaaah

mungu akupe wepesi utoke kwenye maisha hayo
 
Niko kwenye kundi la wanaovaa jeans za kuchanwa
Navaaga hizo ripped jeans ila haichanwi sana hio fashion imenikonga moyo sana ukizingatia hamna mtu anatoa mbuni yake kuninunulia hata rozali.
Wanaoniona wanavyoniona acha wanione,Duniani kila unachokifanya lazima kuna mtu hakimfurahishi
Jaribu kuachana nazo ili upate mume.
 
sawa usijali, nimekubali sina pesa na nashukuru kwa ushauru nitazitafuta.

lakini mkuu nimesikitika sana kwa nini ukubali hali hiyo uliyo nayo? Daaah aisee nimehisi mwili wangu umepigwa ganzi.

Imenibidi nipitie post zako na comment humu jukwaani, Daaaah

mungu akupe wepesi utoke kwenye maisha hayo
Uache kujisikitikia wewe kwa ukapuku wako ukanisikitikie mimi ninayefaidi mema ya dunia hahaha kua serious kijana,

Muombe Mungu akupe na wewe uondokane na hayo mawazo yako mgando juu ya wanawake.
 
Uache kujisikitikia wewe kwa ukapuku wako ukanisikitikie mimi ninayefaidi mema ya dunia hahaha kua serious kijana,

Muombe Mungu akupe na wewe uondokane na hayo mawazo yako mgando juu ya wanawake.
Daaah mema ya dunia kwa ushoga? Yaani unafurahia kusukumiwa nyuma mwanaume mzima na wanaume wenzako...

walai vile hii dunia ina mengi
 
Daaah mema ya dunia kwa ushoga? Yaani unafurahia kusukumiwa nyuma mwanaume mzima na wanaume wenzako...

walai vile hii dunia ina mengi
Hahaha unajaribu kupindisha habari, umebinywa korodani eeh

Next time uje na mada positive juu ya wanawake.

[emoji2380][emoji2380]
 
Hahaha unajaribu kupindisha habari, umebinywa korodani eeh

Next time uje na mada positive juu ya wanawake.

[emoji2380][emoji2380]
mada yangu haina ubaya wowote na iko pande zote

nilichosikitika ni aina ya mtu ninayebishana nae...mkuu kama utaweza nenda kanisani kaombewe
 
mada yangu haina ubaya wowote na iko pande zote

nilichosikitika ni aina ya mtu ninayebishana nae...mkuu kama utaweza nenda kanisani kaombewe
Anza kuombewa wewe uoe village girl wako muwe mnapaka mafuta ya korie na sabuni ya majani ya mpapai.

Lol
 
Back
Top Bottom