Khaa[emoji3][emoji3], watu wakorofi jamaniiKama @financial services
Basi utakuwa mtu wa mbele 😎Ukikaa sana Buza na Keko ndio utaona hayo lakini ukitoka nje ya box utajua maana.
Hahahah Sempai Shuku, mafia toka Mbeya huyo!Hiyo ya tatu kama alivyokufundisha yulw e sempai wako haaaaaaa
Umeoa?Unaanza kupanic hahaha tulia hivyo hivyo mada ipo mezani inajadiliwa,
Unadhani wote wameoa village girl? Hahaha unataka mfano? Ipo mingi na mmoja wapo ni mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Usibishane na mtu aliyelaaniwa.mada yangu haina ubaya wowote na iko pande zote
nilichosikitika ni aina ya mtu ninayebishana nae...mkuu kama utaweza nenda kanisani kaombewe
Asiye na shukrani, muongo, mwenye wivu uliopitiliza, mchawi, mwenye marafiki wa ajabu ajabu, mvivu mvivu
Hahaa, yuko sahihi lakini, sinaga chura mkuu[emoji3]nilishangaaa, wewe unakosaje chura?
Dah, hapo kwenye jeans na vimini kidogo umenigusa, ngoja nibadilishe style nahisi ndyo maana sipati wachumba[emoji848]Mi mwanamke anaevaa jeans za kubana, vinguo vifupi na mpaka bleach sijui namwonaje kama muhuni flani hivi. Samahanini sana kama mpo humu ila ni mtazamo wangu huo.
Mpaka leo bado hujapata.Dah, hapo kwenye jeans na vimini kidogo umenigusa, ngoja nibadilishe style nahisi ndyo maana sipati wachumba[emoji848]
Bado mkuu, vipi kuna assist yoyote?Mpaka leo bado hujapata.
Hahahahaha Rainbow in my vein,Usibishane na mtu aliyelaaniwa.
She claim to be right wakati tayari kuna kosa kubwa analo...Hajioni...Yaani yeye anaona yupo sawasawa......Hakuna kitu ataelewa kama haelewi pakubwa hivyo.
Hata Mimi muongo nachukia anajidai anakupenda ukimtumia SMS anajibu fupifupiMtu muongo muongo [emoji134]♀️[emoji134]♀️[emoji134]♀️[emoji134]♀️[emoji134]♀️[emoji777][emoji777]
Hivi ubahili unaanzaje wengine tunawapa hela hawaheshimu juhudi zetu wanatubeza wanasema wanatuchuna hawatupi mbunye ndio maana nimekuwa mgumu kutoa hela kwa wanawakeMwanaume bakhili, simtaki hata kwa nyongeza.!! [emoji28]