Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Tafuta hela zako acha kua tegemezi,enzi za kukariri kua Mwanamke ni mtu wa kupewa tu na Mwanaume zilishapitwa na wakati,tafuta hela zako badala ya kukasirikia au kuchukia wanaume kisa hela zao walizozitafuta wao wenyewe kwa jasho lao bila msaada wako wowote.
Haya yanayopenda hela zetu yanatabia mbaya tukiwapa kuna mawili kulose mbunye na kudhauriwa
 
Mwanamke ambae hana shukrani na haridhiki usipompa shida ukimpa kidgo ulichobarikiwa bado shida. Nadhani pia wapo ndani ya kundi hilo la kudanga
 
Hata Mimi muongo nachukia anajidai anakupenda ukimtumia SMS anajibu fupifupi
Bora hata huyo anakujibu fupi fupi mkuu..unakutana na mtu leo unazungumza hiki..ukikaa mwezi ukipindisha swala anakupa jibu jipya kabisa na wakati swali ni lilelile😣😣😣huwa natamanigi kupasuka aise
 
Wanawake wa aina yako ndio mnaowaponza wanawake wengine.Ndiyo pesa tunatafuta na tunahudumia lakini kamwe hatuhudumii mwanamke wa aina yako unayeweka mbele maslahi ya pesa kuliko utu.Nina uhakika hata huyo anayekuhudumia hafanyi kwa sababu ya mapenzi bali matumizi.Utajitetea sana ila wanawake wa type yako msio na aibu hamfai katika jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka trust me, mwanamke wa aina hiyo ni lazima ana ROHO MBAYA
 
Back
Top Bottom