Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Tafuta hela zako acha kua tegemezi,enzi za kukariri kua Mwanamke ni mtu wa kupewa tu na Mwanaume zilishapitwa na wakati,tafuta hela zako badala ya kukasirikia au kuchukia wanaume kisa hela zao walizozitafuta wao wenyewe kwa jasho lao bila msaada wako wowote.
Mbona umepanik ivo au we ndo bakhili?
 
unasiri nyingi sana mkuu et?
Mkuu,unajua kuna aina za wanawake,hata issue ndogo tu lazima aitoe nje,hata mkikorofishana kidogo tu lazima akahadithie huko nje,

Tatizo huko nje kila mtu atampa ushauri atakavyo waza,na ndipo issue ndogo hugeuka kua kubwa coz kuna maadui husubiri watu watifuane japo kidogo tu ili wapate pakuanzia.
 
Dada zangu wapendwa, Punguzeni ujuaji, ukiwa mjuaji sana utaishia tu kuwa motivesheni spika lakini wale wenye nia ya kukupa nusrat wataishia kupita njia tu. Mwisho utahisi umelogwa kumbe mchawi ni ujuaji na kibri chako.
 
Pamoja na imani kwamba mahusiano bora huwezekana kwa kukutana na mtu sahihi, na ni dhahiri kwamba mwanamke yeyote anaweza kabisa kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote kwa amani ikiwa kila mmoja wao atakuwa 'motivated' kujua mahitaji ya mwenzi wake huyo na kuyajibu ipasavyo, na hapa ndipo kunakuwa na uwezekano mkubwa kabisa kwa watu kuanzisha na kuendeleza mahusiano na mtu yeyote bila kujali mwonekano wake, tabia na utamduni wake.

Binafsi kuna aina ya wanawake hata kama ni wazuri kiasi gani kimuonekano sijawahi kabisa kuwatamani kuwa nao kimahusiano, ikitokea nikawa nao huko mbeleni lazma nitaawacha baada ya kukidhi haja zangu, nitaorodhesha baadhi ya mambo machache hapo chini ambayo mwanamke akiwa nayo hanivutii kabisa.

Wanawake wabandika kope, kucha bandia, ama anaefuga kucha ndefu, anaejikrimu (mwenye madoa ya rangi mbili mwilini), aliyechora tattoo kwenye mwili wake, aliyetoboa sikio zaidi ya mara moja, anaenyoa kiduku, anaevaa zile jinsi za kuchanikachanika, wanaoweka vipini kwenye ulimi, kitovuni na puani, wavaa vikuku mguuni yaani hawa sivutiki nao kabisa hata wawe warembo kama bikra maria

Ladies and gents njoo hapa mseme aina ya watu ambao hawawavutii kuingia nao kwenye mahusiano
Yeyote anayetaka ngono kabla ya ndoa.
 
Back
Top Bottom